Kazi za ubunifu za Claudi Cassanovas

Kazi za ubunifu za Claudi Cassanovas

1744742396534.jpg
 
Kuna kitu kinaitwa kichaa cha binadamu.. Na kila mtu ana kichaa chake! Tunachotofautiana ni viwango tuu..
Kichaa cha kuokota makopo na kubeba mauchafu
Kichaa cha shopping
Kichaa cha kula
Kichaa cha ujenzi
Kichaa cha ngono
Kichaa cha ubunifu?
1744742358997.jpg
 
Back
Top Bottom