mbere
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 6,969
- 6,460
Spika; wanaosema ndio waseme ndio
Wabunge a) ndioo
Wabunge : (b) hapanaaaaaaa
Spika: waliosema ndio wameshinda kifungu kibaki kama kilivyo.
(7) iwapo mgimbea ametangazwa na time ya uchaguzi kwamba amechaguliwa kuwa Rais Kwa mujibu Wa ibara hii , basi hakuna mahakama yeyote itakayokuwa na mamlaka ya kuchunguza kuchaguliwa kwake .
Hah has haaaaaaaa