Kazi za Kujitolea: Kwanini Ufanye, Umuhimu wake, na madhara ya kuzichukulia kwa wepesi

Muda ni mtaji kama ilivyo pesa. Muda pia ni kipato kama vilivyo vyanzo vingine vya mapato. Kujitolea pasipo malipo ni upotezaji wa rasimali yako yenye kuweza kukuingizia kipato.

Kataa kujitolea, tembea na mlengo wako kichwani wacha mtaa ukuadhibu ila kwa mlengo wako utafika.

Wako mtiifu
Darasa la saba ‘B’
 
unaamua zako ujitolee usipewe hata mia, unaenda kuomba volunteer mahali unaambiwa acha docs zako tutakuchek ,,afu ndo imetoka hiyo. bongo sjui tunashida gani.talking from experience
 
Back
Top Bottom