Gutapaka
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 283
- 218
Wakuu Mimi nahitaji kujitengenezea wasifu wa kuwahi kufanya kazi na mashirika yanayotoa misaada ya kibinadamu hasa Wakimbizi lakini Kila nikijaribu kuomba nafasi ya kujitolea sifanikiwi tatizo hasa ni lipi? Au nakosea wapi? Kwa anaefahamu anisaidie muongozo kwa hapa Kasulu na Kibondo, Kigoma.