Kazi za kujitolea katika mashirika ya wakimbizi

Uko sahihi Sana, lakini hiki ndo kipindi kizuri Sana kwa sababu haya mashirika hupata muda wa kustawi Sana baada ya myumbo wa kipindi Kama hiki. Najua Evalist wa Burundi hajawahi pata changamoto na kumbuka maadui wa Burundi Ni Museven na Kagame, hawa wapuuzi hawaeleweki.
Hivi museveni ana maslahi gani na Burundi??
 
Huko Hakuna issue tafuta kwingine. Kambi ya Mtendeli Mwezi wa Pili inafungwa rasmi.itabaki kambi ya Nduta na Nyarugusu. Na kumbuka wwkimbizi kutoka Burundi wanaohifadhiwa kambi ya Nduta kila siku wanarejeshwa kwao. Huko kambini Hakuna future kabisa.

Kule Nyarugusu mashirika yameanza kufanya kazi za Hosting community ( kwenda kusaidia Jamii za watanzania) labda ujaribu huko. Lakini future is not promising.

Kufungwa kwa kambi ya mtendeli pia nilisikia, nafikiri Nyarugusu itaendelea kuwepo maana wamejenga hadi nyumba za kudumu. Kipindi naondoka kule Nyarugusu ilikuwa imesitisha kupokea wakimbizi wapya, wakawa wanapelekwa Nduta na Mtendeli.
 
Kama Kuna Nyumba inaweza kugeuzwa Kijiji na watu wakapewa uraia Kama ilivyokuwa kambi za Mtabira au kule Rukwa
 
Kama Kuna Nyumba inaweza kugeuzwa Kijiji na watu wakapewa uraia Kama ilivyokuwa kambi za mtabira au kule rukwa

Hilo pia linawezekana kabisa, ila nilisikia MHA pale wakifikiria kuifanya kambi ya jeshi endapo watasitisha kupokea wakimbizi.
 
Kama Kuna Nyumba inaweza kugeuzwa Kijiji na watu wakapewa uraia Kama ilivyokuwa kambi za Mtabira au kule Rukwa
Warundi wapuuzi sana. SIo wa kuwapa uraia. Wale wa Katavi wanajitenga sana. Wanataa wakae wao tu
 
Ok! Stand mpya Kasulu. Shule ya msingi Murusi.
Maeneo yangu ya kujidai hayo.
 
Ok! Stand mpya Kasulu. Shule ya msingi Murusi.
Maeneo yangu ya kujidai hayo.
🤣 🤣 🤣 Mwakeye. Nimekaa sana mtaa wa Murusi jirani na Serengeti, miaka mingi kidogo. Baadae nikahamia kwa Shayo pale.
 
Back
Top Bottom