Natafuta nafasi ya kujitolea katika taasisi binafsi, NGO au sehemu yoyote

Exformer

JF-Expert Member
Nov 12, 2018
837
946
Habari zenu wanajamii,

Mimi ni kijana wa Kitanzania, nina miaka 25, mhitimu wa chuo kikuu cha Ushirika Moshi (MOCU). Nimesomea shahada ya sanaa katika Uchumi wa Maendeleo ya jamii (Bachelor of Arts in Community Economic Development) Mbali na elimu niliyosomea nina ujuzi wa kutumia Computer hasa katika Microsoft word na Emails.

Natafuta nafasi ya kujitolea katika taasisi binafsi yoyote ile au NGO yoyote ile iwe Kigoma au popote pale inayojihusisha na masuala yoyote ya kijamii (Gender, Social works, Community Engagement etc). Lengo ni kupata uzoefu wa kufanya kazi na taasisi binafsi au NGO kwa muda wa mwaka 1+

Mawasiliano:
hamicomaryrajabu993@gmail.com
0628849189
Kigoma,Tanzania
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom