Kazi za kujitolea katika mashirika ya wakimbizi

Gutapaka

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
237
250
Wakuu Mimi nahitaji kujitengenezea wasifu wa kuwahi kufanya kazi na mashirika yanayotoa misaada ya kibinadamu hasa Wakimbizi lakini Kila nikijaribu kuomba nafasi ya kujitolea sifanikiwi tatizo hasa ni lipi? Au nakosea wapi? Kwa anaefahamu anisaidie muongozo kwa hapa Kasulu na Kibondo, Kigoma.
 
Kim Jong Jr

JF-Expert Member
Mar 15, 2014
9,397
2,000
Huko Hakuna issue tafuta kwingine. Kambi ya Mtendeli Mwezi wa Pili inafungwa rasmi.itabaki kambi ya Nduta na Nyarugusu. Na kumbuka wwkimbizi kutoka Burundi wanaohifadhiwa kambi ya Nduta kila siku wanarejeshwa kwao. Huko kambini Hakuna future kabisa.

Kule Nyarugusu mashirika yameanza kufanya kazi za Hosting community ( kwenda kusaidia Jamii za watanzania) labda ujaribu huko. Lakini future is not promising.
 
vugwe

Senior Member
Dec 18, 2020
113
500

Sure?
 
Hornet

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
20,881

Mbona bado wanatoa nafasi za kazi?
 
Hornet

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
20,881
2,000
Me: Tz hakuna ajira za walimu.

You: Mbona vyuo bado vinafundisha kozi za ualimu?

Me:
Hivyo ni vitu viwili tofauti_

Amesema kambi zinafungwa from February na currently zilitolewa nafasi za kazi za 1yr contract ,
Je hao watendaji wanakwenda kufanya nini?

Hiyo inafananaje na swala La waalimu?
 
Kim Jong Jr

JF-Expert Member
Mar 15, 2014
9,397
2,000
swali langu ni vipi mbona bado wanatoa nafasi za kazi?
Kuna watu wanapata kazi sehemu nyingine au kuacha kazi. Lazima pengo lizibwe. Hakuna kazi mpya zinatangazwa kule. Ukiona tangazo jua Ni anatafutwa mtu akajaze nafasi ya mtu.
 
Kim Jong Jr

JF-Expert Member
Mar 15, 2014
9,397
2,000
Hivyo ni vitu viwili tofauti_

amesema kambi zinafungwa from February na currently zilitolewa nafasi za kazi za 1yr contract ,
Je hao watendaji wanakwenda kufanya nini?

Hiyo inafananaje na swala La waalimu?
Niambie shirika lililotangaza nafasi mpya Sasa hivi ...

Kwani ukipewa mkataba wa mwaka mmoja watu hawawezi kuuvunja?
 
tang'ana

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
10,245
2,000
Huko Hakuna issue tafuta kwingine. Kambi ya Mtendeli Mwezi wa Pili inafungwa rasmi.itabaki kambi ya Nduta na Nyarugusu. Na kumbuka wwkimbizi kutoka Burundi wanaohifadhiwa kambi ya Nduta kila siku wanarejeshwa kwao. Huko kambini Hakuna future kabisa.

Kule Nyarugusu mashirika yameanza kufanya kazi za Hosting community ( kwenda kusaidia Jamii za watanzania) labda ujaribu huko. Lakini future is not promising.
Huko Congo kitanuka muda si mrefu..wakimbizi watarudi kama kawaida.
 
Kim Jong Jr

JF-Expert Member
Mar 15, 2014
9,397
2,000
Danish.

kijana akaombe hata huko akipata nafasi itamsaidia hata pengine.
Kambini Sasa hivi Hakuna kazi za ku-volunteer.

Hao Danish wanasimamia Education makambini Kama Kuna kazi uliona ujue Kuna watu wametoka.
 
Gutapaka

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
237
250
Huko Hakuna issue tafuta kwingine. Kambi ya Mtendeli Mwezi wa Pili inafungwa rasmi.itabaki kambi ya Nduta na Nyarugusu. Na kumbuka wwkimbizi kutoka Burundi wanaohifadhiwa kambi ya Nduta kila siku wanarejeshwa kwao. Huko kambini Hakuna future kabisa.

Kule Nyarugusu mashirika yameanza kufanya kazi za Hosting community ( kwenda kusaidia Jamii za watanzania) labda ujaribu huko. Lakini future is not promising.
Uko sahihi Sana, lakini hiki ndo kipindi kizuri Sana kwa sababu haya mashirika hupata muda wa kustawi Sana baada ya myumbo wa kipindi Kama hiki. Najua Evalist wa Burundi hajawahi pata changamoto na kumbuka maadui wa Burundi Ni Museven na Kagame, hawa wapuuzi hawaeleweki.
 
Islam005

JF-Expert Member
Nov 1, 2008
3,037
2,000
Kwahiyo inabidi tuwaombee wapigane ili wakimbizi warudi na watu tupate kazi?
Duh
 
Idimi

JF-Expert Member
Mar 18, 2007
13,663
2,000
Hivyo ni vitu viwili tofauti_

amesema kambi zinafungwa from February na currently zilitolewa nafasi za kazi za 1yr contract ,
Je hao watendaji wanakwenda kufanya nini?

Hiyo inafananaje na swala La waalimu?
Sio kambi zote. Inafungwa ile ya wilayani Kakonko (Mtendeli). Zingine mbili za Kasulu na Kibondo zinabaki. Ila Nduta nayo haina muda mrefu
 
Idimi

JF-Expert Member
Mar 18, 2007
13,663
2,000
Huko Congo kitanuka muda si mrefu..wakimbizi watarudi kama kawaida.
Hakuna kitu cha namna hiyo. Walitarajia Kabila asababishe vita, lakini aliwapiga chenga ya mwili. Wacongo wamebaki Congo wanajenga nchi yao
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom