usser
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 13,901
- 13,870
Kuna jamaa alikua ameweka hii kule rombo kijijin ukienda kutoa anakwambia weka lipa na m pesa alaf Kama ww n zuzu ukimpa akutolee akishamaliza kutoa anafuta msg yakoipo hivi kwenye biashara ya mpesa kuna faida ndogo sana tena sana.ili uingize hata elfu 5 kwa siku inatakiwa uwe na wateja weng sana (wengi sana)
sasa kuna hizi lain ziliundwa mahusus kwa kulipia bidhaa kama supermaket au sheli,(mteja akitoa pesa hakatwi inatoka kama ilivyo)
sasa mawakala wajanja tukaamua kuzinunua hizo till aina ya lipa kwa mpesa.
anakuja mteja anataka kutoa mfano elfu 10 ,ili itoke elfu 10 atakatwa sh 1600 alafu ww unapata kamishen kama sh 200 tu
sasa ukiwa na ile lipa kwa mpesa unamwambia aweke 11000 alafu ww unampa elfu 10 unabakiwa na buku yeye pia unamwachia 600 ambapo ukijumlisha inakuwa 1600 ya makato. sasa mteja akiona amekatwa elfu moja tu kesho atamwambia mwenzake watakuja wengi.
yaan kiufupi mteja akija kutoa namtolea kweny lipa inatoka kama ilivyo .yale makato ambayo mteja anakatwa hayaendi kweny kampuni nabaki nayo mimi alafu najiongeza nakupa na ww kidgo ili kesho urudi (technique ya biashara)
ila sasahivi naona voda wameshashtuka wanazifungia ila hela yako unaitoa.
baada ya lipa kufungwa fungwa tukahamia selcom,tukahamia tena mlipa sasahivi tunatafuta mbinu nyingine.UKITEGEMEA KAMISHENI YA VODA UTATOKA BARABARANI MAPEMA
TOFAUTI NA HAPO SIKUSHAURI UFUNGUE MPESA KAMA HUNA UJANJA UJANJA WA KUINGIZA PESA.
NB: NIMETOA HII SIRI YA KAMBI BAADA YA TILL ZA LIPA KUFUNGWA FUNGWA
SOMA VIZURI MAELEZO YANGU
Niliwah toa hapo 30k akasema weka 32k kwakua hukatwi kitu na ukitoa Kwa wakala unakatwa hyo 2k