Kazi ya madirisha ya MwanaJamiiForums kabla ya kupachikwa

mtafuta-maisha

JF-Expert Member
Nov 5, 2016
1,992
2,000
Hongera. Hiyo ni PVC?
Asante mkuu. Hapana hii ni alumunium ya cm 10 ikitengenezwa vizuri inakuwa na muonekano mzuri kama pvc kama unavyoona na ni gharama nafuu kuliko pvc
Baadae nitakuwekea picha ikiwa ishapachikwa kwenye nyumba uone inavyopendeza.
 

mtengwa

JF-Expert Member
Aug 20, 2011
1,557
2,000
kazi nzuri mkuu.....Ofisi zenu ziko wapi. BTW ntakucheki kwa namba yako ya simu
 

conductor

JF-Expert Member
May 29, 2013
548
500
Mimi ni mjenzi na mkandrasi kiwango cha daraja la nne barabara na nyumba. Ofisi zangu ziko Sinza. Najenga na kutoa ushauri kwa weredi mkubwa kabisa na bei nafuu..tuwasiliane 0715373716./
 

Bei Mbaya

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
2,263
1,250
Kwa hiyo hapo juu aluminium cm 10 white ya vyumba vyumba bei yake ni 162,000 kwa square metre. kwa hiyo tutapima madirisha yako tujue jumla yana sqm ngapi. mkuu kama ukoa around dar hiyo ni mpaka kwa nyumba
Pvc sqm ni shs ngapi?

na Aluminium ya kawaida sqm shs ngapi?

hizo patisheni ni vioo vimekatwa katwa au ni mkanda tu umepita juu yake?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom