Kazi ya madirisha ya MwanaJamiiForums kabla ya kupachikwa

mtafuta-maisha

JF-Expert Member
Nov 5, 2016
1,982
2,913
Kazi yetu ya aluminium windows toka infinity works asante mdau wa jf kwa kutuungisha.
Wengine karibu sana namba zetu ni 0620775867
1482123588712.jpg
 
Hongera. Hiyo ni PVC?
Asante mkuu. Hapana hii ni alumunium ya cm 10 ikitengenezwa vizuri inakuwa na muonekano mzuri kama pvc kama unavyoona na ni gharama nafuu kuliko pvc
Baadae nitakuwekea picha ikiwa ishapachikwa kwenye nyumba uone inavyopendeza.
 
kazi nzuri mkuu.....Ofisi zenu ziko wapi. BTW ntakucheki kwa namba yako ya simu
 
Mimi ni mjenzi na mkandrasi kiwango cha daraja la nne barabara na nyumba. Ofisi zangu ziko Sinza. Najenga na kutoa ushauri kwa weredi mkubwa kabisa na bei nafuu..tuwasiliane 0715373716./
 
Bei mpaka ipo kwa nyumba ?
Kwa hiyo hapo juu aluminium cm 10 white ya vyumba vyumba bei yake ni 162,000 kwa square metre. kwa hiyo tutapima madirisha yako tujue jumla yana sqm ngapi. mkuu kama ukoa around dar hiyo ni mpaka kwa nyumba
 
Kwa hiyo hapo juu aluminium cm 10 white ya vyumba vyumba bei yake ni 162,000 kwa square metre. kwa hiyo tutapima madirisha yako tujue jumla yana sqm ngapi. mkuu kama ukoa around dar hiyo ni mpaka kwa nyumba
Pvc sqm ni shs ngapi?

na Aluminium ya kawaida sqm shs ngapi?

hizo patisheni ni vioo vimekatwa katwa au ni mkanda tu umepita juu yake?
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom