mtafuta-maisha
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 1,982
- 2,915
Kazi yetu ya aluminium windows toka infinity works asante mdau wa jf kwa kutuungisha.
Wengine karibu sana namba zetu ni 0620775867
Wengine karibu sana namba zetu ni 0620775867
Asante mkuu. Hapana hii ni alumunium ya cm 10 ikitengenezwa vizuri inakuwa na muonekano mzuri kama pvc kama unavyoona na ni gharama nafuu kuliko pvcHongera. Hiyo ni PVC?
Karibu mkuu tegeta njia ya wazokazi nzuri mkuu.....Ofisi zenu ziko wapi. BTW ntakucheki kwa namba yako ya simu
Kwa hiyo hapo juu aluminium cm 10 white ya vyumba vyumba bei yake ni 162,000 kwa square metre. kwa hiyo tutapima madirisha yako tujue jumla yana sqm ngapi. mkuu kama ukoa around dar hiyo ni mpaka kwa nyumbaBei mpaka ipo kwa nyumba ?
Asante mkuu. Hapana hii ni alumunium ya cm 10 ikitengenezwa vizuri inakuwa na muonekano mzuri kama pvc kama unavyoona na ni gharama nafuu kuliko pvc
Baadae nitakuwekea picha ikiwa ishapachikwa kwenye nyumba uone inavyopendeza.
Mbona umevamia thread ya mwenzako, ni vizuri ukianzisha yako.Mimi ni mjenzi na mkandrasi kiwango cha daraja la nne barabara na nyumba. Ofisi zangu ziko Sinza. Najenga na kutoa ushauri kwa weredi mkubwa kabisa na bei nafuu..tuwasiliane 0715373716./
Pvc sqm ni shs ngapi?Kwa hiyo hapo juu aluminium cm 10 white ya vyumba vyumba bei yake ni 162,000 kwa square metre. kwa hiyo tutapima madirisha yako tujue jumla yana sqm ngapi. mkuu kama ukoa around dar hiyo ni mpaka kwa nyumba