Kazi ya kuuza duka Kimara

Kazi ya kuuza duka Kimara

CONTROLA

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2019
Posts
7,087
Reaction score
23,870
Ofisi inajihusisha na uuzaji wa GAS ZA KUPIKIA.

ENEO ILIPO : KIMARA

MAJUKUMU : YOTE YAHUSUYO OFISI HIYO

VIGEZO : UWE NA NIDA NA WADHAMINI (2) WENYE MAKAZI YA KUDUMU

MUDA WA KUINGIA KAZIN : 12:00 ASBH
MUDA WA KUTOKA : 3:50 USKU

MSHAHARA : 300,000

SIMU : 0786 _ 025 025 WHATSAPP/CALL/MSG

ANGALIZO : KAMA HUWEZI FIKA KAZIN BA KUTOKA MUDA TAJWA USINITAFUTE.

KAMA HUNA NIDA + WADHAMINI USINITAFUTE PIA.
 
Naitwa s nipo mkoa x nimeona tangazo lako #jamiiforums
Kuuza duka
Vigezo namba ya nida
Na mtu wa karibu nipe muongozo nitapata ajira


.
.
.
.

Huyo ni mtu katuma MSG anaomba KAZI

Vaa Uhusika Wangu halafu nisaidieni kumjibu huyu mtu...
 
Kwa sheria za ajira Tanzania mtu anatakiwa kufanya kazi masaa yasiyozidi 45 kwa wiki, watakuja watu sababu wana shida ya ajira vinginevyo huo mshahara ni mdogo sana kwani unamzuia hata kufanya majukumu yake ya kijamii.
Ayafanye majukumu yake ya kijamiii sasa hivi akiwa hana kazi ayafanye 24 hrs hamna wakumzuia wala kumpangia...

Ukikubali Kuajiriwa Fata taratbu za muajiri wako,

Kila kitu ni makubaliano, ukiona unabanwa Kausha endelea kufanya Majukumu yako ya Kijamiiii.
 
Ayafanye majukumu yake ya kijamiii sasa hivi akiwa hana kazi ayafanye 24 hrs hamna wakumzuia wala kumpangia...

Ukikubali Kuajiriwa Fata taratbu za muajiri wako,

Kila kitu ni makubaliano, ukiona unabanwa Kausha endelea kufanya Majukumu yako ya Kijamiiii.
walioweka huo utaratibu walijua kabisa kuna muda mtu anatakiwa afanye kazi, kunaa muda akae na familia na kuna muda anatakiwa aenjoy ndio msingi wa hiyo sheria
 
Nikisikia neno ajira naonaga gundu yaan asubuh to usiku laki 3 yaan kwa siku unaingiza elfu kumi wakat menyewe kwa siku nimekosa sana naingiza 40 tena napata karibu masaa ma4 ya kupumzika polen na ajira zenu
Elfu 40 ni hela ya kuja kusema unapata kwa siku na una masaa ma 4 tu ya kupumzika...

Na wewe una beza wanaopata 10k kwa siku ambapo tukienda kiuhalisia Ulingoni uso kwa uso

Benefit za mwenye 10k kwa siku na wewe wa 40k kwa siku Take home anakuacha mbali mbingu na Ardhi...

Kuna kazi Hulipwi hata sh 10 kwa siku wala kwa mwezi lakini anapata marupurupu zaidi yako wewe unaetaka 40k kwa siku

Ki ufupi Hamna MUAJIRI Boya na hamna muajiri anaeropoka tu Mshahara, kila mshahara unaopangwa na muajiri yeyote kashaupgia hesabu na kaona unakidhi mtu kulipwa.

ENdelea na ajira yako ya 40k/day jitahidi usiwe unasema ungekausha tu maana hiyo sio hela ya kulipwa

Ukiniambia mimi ntakukandia kama wewe unavyomkandia wa 10k...

Yani 40k kwa siku ukae kimya kabisa next time...
 
Back
Top Bottom