Luteni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 2,274
- 302
Humu JF kuna watu wazima wanaongea ujinga mtumpu. This thread is one of those that clearly show this fact. Rais ana network kubwa sana ya watu anaowafahamu na kisiasa na ki binadamu anawajibu ambao anautekeleza vizuri tuu. Nina uhakika haendi kwneye misiba zaidi ya 2 kwa mwezi kwaahiyo hii mada ni kama kwato za fisi, ujinga mtupu.. There is no way that him taking that time affects his performance as President. Nikama watu wamwabie Obama asicheze basketball, lol.. Acheni ujinga tumieni forum kujadili vitu vyenye maslahi au pelekeni udaku kwenye jokes/utani huko. Watu wazima hovyo kama mnakunywa piwa..
Hujui kila anachotumia Rais kinatokana na kodi zetu hata muda lazima tuuhoji hata roll ya toilet paper ni kodi yangu haiingii akilini anipotezee muda ebo
Kuhusu Obama kucheza Basket ball unajua leisure inakuwepo wakati mambo yako yanakwenda vizuri sasa wewe kwako unga hakuna eti unakwenda kucheza basketball kwa vile jirani anacheza hiyo ni akili au matope