KIJIGOJUNIOR
Member
- Mar 5, 2011
- 27
- 17
Wana JF,
Jana nilipokuwa nimetoka kwa ajili ya chakula cha mchana,nikiwa maeneo ya Survey nakula,nilikaa jirani na majamaa wawili. Kwa hakika nilikuwa naweza kusikia mazungumzo yao. Aliyekuwa mzungumzaji mkuu alikuwa akimwambia mwenzake kuwa anamfahamu sana January Makamba kwani amekuwa rafiki yake siku nyingi, na muda wote ambao amefanya kazi Ikulu alikuwa Msaidizi wa Rais na kazi yake kuu ilikuwa ni kugawa Business Card za Mkuu wa Kaya kwa kila aliyepata kuingia Ikulu. Je, hii ni kweli? Kuna mtu anajua kwa kina alichokuwa akikifanya January akiwa Ikulu? Kazi yake hasa ilikuwa nini?
Naomba kujulishwa