Kazi ya CONSTRUCTION HELPER Abudhabi U.A.E

Kiongozi naona unapiga hesabu za rent za kuishi kwenye apartments ila sehemu za kuishi au kulala hapa UAE zimegawanyika kama ifuatavyo,kuna Bed space ambayo kwa mwezi inaanzia 200aed hadi 1000aed,pia kuna partition hizi zinaanzia 1000aed hadi 2000aed pia kuna chumba kizima hapa unalipa kuanzia 1500 na kuendelea ni kutokana na sehemu chumba kilipo

Ila hapa dubai kuna Labour cities ambazo makampuni mengi yamejenga accommodation zao kwa staff wake ambao wanaishi bure ila chakula wanajitegemea na kwenye hizo accommodation wanapewa na majiko ya gesi kwa ajili ya kujipikia chakula chao,usafiri wa kwenda kazini na kurudi ni bure,pia Medical insurance

Pia Dubai mshahara wake hauna kodi hata moja,pesa yako utaipata kama ilivyo

Ukiwa Tanzania na una kipato cha kuanzia 1M kila mwezi nakushauri usiondoke ila kama umepata 2M kwa bahati mbaya na huwezi kuizalisha ni bora ukasafiri ukatengeneza kipato cha uhakika kila mwezi

Free accommodation maana yake ni kwamba utapewa bed space kama zilivyo hostel za chuo,chumba kimoja watu wanne
Kila mtu lazima aanze kwenye humble beginning,Dubai ni platform iliyowapa watu maisha,leo hii utakuja kwa kazi ya construction ila uzuri wake kuna growth of careers uankuja unapata kazi nzuri na yenye maslahi mazuri na kuweza kuishi kwenye chumba kizuri
much like modern day slavery
 
much like modern day slavery
Kazi yoyote ya kuajiriwa ni utumwa mkuu

Kama nilikuwa Tanzania na sikupata kazi ya kujipatia angalau pesa ya kula,ila nimekuja huku nina uhakika wa kupata pesa kila mwisho wa mwezi na nikapata angalau chochote cha kutuma nyumbani basi ni bora niendelee kuwa mtumwa
 
Kiongozi naona unapiga hesabu za rent za kuishi kwenye apartments ila sehemu za kuishi au kulala hapa UAE zimegawanyika kama ifuatavyo,kuna Bed space ambayo kwa mwezi inaanzia 200aed hadi 1000aed,pia kuna partition hizi zinaanzia 1000aed hadi 2000aed pia kuna chumba kizima hapa unalipa kuanzia 1500 na kuendelea ni kutokana na sehemu chumba kilipo

Ila hapa dubai kuna Labour cities ambazo makampuni mengi yamejenga accommodation zao kwa staff wake ambao wanaishi bure ila chakula wanajitegemea na kwenye hizo accommodation wanapewa na majiko ya gesi kwa ajili ya kujipikia chakula chao,usafiri wa kwenda kazini na kurudi ni bure,pia Medical insurance

Pia Dubai mshahara wake hauna kodi hata moja,pesa yako utaipata kama ilivyo

Ukiwa Tanzania na una kipato cha kuanzia 1M kila mwezi nakushauri usiondoke ila kama umepata 2M kwa bahati mbaya na huwezi kuizalisha ni bora ukasafiri ukatengeneza kipato cha uhakika kila mwezi

Free accommodation maana yake ni kwamba utapewa bed space kama zilivyo hostel za chuo,chumba kimoja watu wanne
Kila mtu lazima aanze kwenye humble beginning,Dubai ni platform iliyowapa watu maisha,leo hii utakuja kwa kazi ya construction ila uzuri wake kuna growth of careers uankuja unapata kazi nzuri na yenye maslahi mazuri na kuweza kuishi kwenye chumba kizuri

Mkuu wewe unanufaikaje na mtu kuja kufanya kazi huko UAE , maana hili sio tangazo la kazi ni tangazo la biashara.
 
Back
Top Bottom