Kazi ya CONSTRUCTION HELPER Abudhabi U.A.E

Kazi ya CONSTRUCTION HELPER Abudhabi U.A.E

Mtu ambaye atakufanyia utaratibu wote huko Tanzania ni mwajiriwa wa serikali hiyo dhamana tosha pia unaweza kuja na mwanasheria wako kwamba unatoa pesa yako kwa ajili ya safari na ikienda tofauti utahitaji kurudishiwa pesa yako na mikataba ikasainiwa
Hayaa.ila nimepiga hesabu hyo laki 7+ Kwa mwezi .
Ukija Kutoa matumizi unaweza ukabaki na laki.
 
Hayaa.ila nimepiga hesabu hyo laki 7+ Kwa mwezi .
Ukija Kutoa matumizi unaweza ukabaki na laki.
Usije ukajidanganya kwenda utakua msenge tu huko hata anayeteseka bongo anaweza kupata hiyo pesa hakuna dagaa wa 500 au 1000kule
 
🤣🤣🤣.yaani tajiri Yako mpaka Sasa anatumia mixer ya mkono alafu ana hela ya kukulipa Kwa day 40,000.huyo kiboko
Mtu akilipwa 25,000 kWa Zege ni hela nyingi hapa TZ. Haijawahi tokea hata fundi mkuu kulipwa 40,000.

Kingine, sioni Mbongo anayeweza kumwaga Zege UEA, wanaweza Wahindi tu. Hili Tangazo ni mfupa uliomshinda fisi.
 
Hayaa.ila nimepiga hesabu hyo laki 7+ Kwa mwezi .
Ukija Kutoa matumizi unaweza ukabaki na laki.
Hapana kaka mimi nimeishi Dubai kwa mshahara huo na nikikuwa nafanya saving ya laki 4 kwa mwezi

Kwa maana ya kwamba nakula laki 2 na natuma nyumbani laki 1 halafu iliyobaki nasave

Kwasababu malazi,usafiri na matibabu ni bure na hvyo ndo vitu ambayo vina gharama sana

Dubai sio sehemu ya kuja kufanya starehe kila mshahara wako utakuwa unaishia hapa na utarudi dsm na IPhone na Mabegi ya nguo
 
Hakuna sehemu ngumu kama kufanya kazi saidia fundi UEA! Gharama za maisha na hali ya hewa - joto. Sioni Mtanzania anayeweza!
Yeah ni sahihi kabisa na ndio maana kwenye kazi hizo wamejaa Wa bangladesh,na wanepal kwa africa wamejaa Uganda na Burundi ila kwasasa ndo nimeanza kuona watanzania wapo wanajipambania kwenye kazi hizo
 
Uarabuni hata kama ni mshahara wa 100M siendi
Kwa wenye uhitaji wa kazi ya construction helper Abudhabi na una Agent fee ya $1000.

Kazi zipo za kutosha sana,Baada ya kufanyiwa medical checkup,work visa inatoka baada ya wiki moja na ndio utafanya initial payment ya $500 baada ya hapo utasubiri flight ticket na ikitoka utamalizia $500 na utasafirishwa Abudhabi UAE kuanza kazi yako

*Free accommodation
*Free Transport
*Leave salary
*Medical insurance

Mshahara kwa mwezi ni AED 1100
Masaa 10 ya kazi kwa siku 6 ndani ya wiki na siku 1 ya mapumziko
 
Uarabuni hata kama ni mshahara wa 100M siendi
Nakuelewa mkuu hata mimi nilikuwa na mentality kama yako ila maisha yaligeuka na nikawa sina namna,nikaja huku nikapambana na leo hii nashukuru kwa hatua niliyopiga

Nikwambie tu ukweli wa hapa hasa UAE
Vyeti vya nyumbani kwenu havina msaada wowote,ukifika kwa mara ya kwanza kubali kufanya kazi za cleaner,na construction helper ila kuanzia kazi ya security,driver,Barista na kuendelea ni lazima uingie darasani usome na upewe cheti cha mamlaka zao ili upate kazi na utalipwa pesa nzuri

Kwahyo kila mtu lazima aanze kwenye humble beginning
 
Waarabu,wachina,wahindi eneo la kazi huwa sina imani nao hata kidogo. Kwanza ni jamii ambayo wanaona haki za binadamu ni tatizo au swala la multiple choice kwa upande wao sio watu wa kufuata na kuheshimu haki za binadamu hata sheria za inchi zao hazibebi swala la haki za binadamu kama jambo la msingi.

Huko Uarabuni ni miaka ya juzi tu hapa walilazimika kubadili sheria zao za kikazi na ajira za wageni. Wanamfumo ambao unampa muajiri yaani raia wa huko nguvu ya kumfanya chochote atakae muajiri kama akiwa ni raia wa kigeni.

MImi bora mataifa ya ulaya na America kidogo utanishawishi sababu kule mtu hata akikusonya tu unaweza kumshitaki. Akikuvunjia heshima na hadhi yako kama binadamu kuna NGO's kibao za kudeal na hizo issue watakupa wakili utadeal nae na utamnyoosha vizuri tu.

Uarabuni ni different case,ikitokea umeonewa mzee imekula kwako,hizo habari za haki za binadamu sijui haki za wageni hizo sio mbaga zao na kusaidiwa itategemea na utu wa utakae mkuta ila hawawezi kandamiza mwenzao ukusaidia wewe hiyo sahau.

Ndio maana uone hata waaarabu wakipata shida wanaona heri wakimbilie ulaya ila sio kwa waaarabu wenzao ambao . Mimi kazi huko sijui labda iweje ila kunipeleka huko tena hakuna ninae mjua siwezi fanya huo upuuzi.

Najijua ni mtata na sehemu ya kuzinguliwa haki naweza hata chapa mtu makofi ya ghafla ikawa ishu.
 
Conditions for construction workers in Abu Dhabi involve significant labor rights issues, including long hours, wage theft, passport confiscation, hazardous environments (extreme heat, accidents), and debt from recruitment fees, despite UAE laws and government initiatives, with many workers from South Asia facing precarious situations, inadequate support, and exploitation that impacts their health and finances, although there are also ongoing efforts by authorities to improve safety and adherence to labor laws, especially concerning heat breaks and worker awareness
.
Key Challenges
  • Long Hours & Wage Issues: Workers often exceed legal limits (8 hrs/day, 48 hrs/week) and face delayed or withheld wages, notes ECDHR and Human Rights Watch.
  • Recruitment Fees & Debt: Exorbitant fees paid to recruiters leave workers heavily indebted, impacting remittances to families.
  • Passport & Movement Restrictions: Employers often retain passports, preventing workers from leaving or changing jobs, notes Human Rights Watch and Business and Human Rights Centre.
  • Unsafe Conditions: Extreme heat, falls, and hazardous materials are risks, with inadequate medical care and reporting of injuries.
  • Lack of Accountability: Weak enforcement of labor laws, lack of unions, and inadequate oversight by authorities persist, reports Human Rights Watch and Human Rights Watch.
Wataobisha waache waende wakajionee
 
Waarabu sio watu

Ukienda kufanya kazi nje fanya na wazungu tu Hawa wengine ni mashetani.


Mdogo wangu alienda Dubai mwaka Juzi gharama zote Hadi anatua Dubai ilikuwa milion 5. Msidanganywe kuwa ni Bure.


Amefika Dubai akapewa terms mpya ambazo hapa Tanzania hakuambiwa. Kumbe kwenye hiyo salary kuna percent ni ya dalali aloekupeleka.


Na ukifika hapo. Kumbe Kuna ukiritimba sehemu gani upangiwe pa kufanya kazi. Site managers wengi ni wahindi Ili upangiwe sehemu nzuri inabidi uwahonge au uwe na urafiki nao Yani wakukubali.


Mdogo wangu alipangiwa mikoani huko karibu na Bahari - kama mpaka na Iran. Kila Habari za vita vya Iran na Israel wao wafanyakazi ilikuwa ni stress tu.

Kazi walizokuwa wanafanya ni za kitumwa na video ninazo sema naogopa kuzituma humu.
Walikuwa wanaishi kambini. Ila chakula ni juu yako.


Alikuja kuacha hiyo kazi. Alipata kazi nchi nyingine kumbe kwenye ule mkataba walimbana hapaswi kutafuta kazi sehemu nyingine ndani ya miaka mitatu.


Hizo kazi za waarabu kuweni nazo makini saaaaaana. Tena sanaaana
 
Hizi story za humu ndio ambazo zinawafanya watanzania wengi mpaka sasa waogope hata kutoka kwenda nchi ya karibu kwenda kufanya kazi

Kuna sehemu unafika na ukasema ww umetokea Tanzania wanaanza kukushangaa,kwasababu wanajua sisi ni waoga sana wa maisha nje ya nchi yetu

Sheria za kazi zipo wazi,utatumikia mkataba wako hadi umalize kipindi cha probation period kiishe baada ya hapo upo huru kuacha kazi na kwenda unapopajua

Ila kama sio mfanyaji wa kazi huku UAE usije,watanzania wengi ni wavivu wa kazi
 
Back
Top Bottom