Kazi ya CONSTRUCTION HELPER Abudhabi U.A.E

Kazi ya CONSTRUCTION HELPER Abudhabi U.A.E

AED 1,100 ni per month sio per week that’s very little money but I’ll reserve my judgment it might be a lot for someone, bongo is extremely poor
Bongo mshahara wa laki 7 anaupata mwalimu,ila ukiwa mgaigai wa kufanya kazi kwenye sekta binafsi tena unskilled labour huwezi kupata hata mshahara wa laki 4 kwa mwezi
 
AED 1,100 ni monthly payment?? Kazi za zege bongo zimefika 40,000/= per day si bora hapa hapa bongo
Ni sahihi kabisa mkuu,hizi mentality ndo ambazo zinatufanya watanzania wengi kudumaa kwenye ufikiri

Tunasahau pia kwenye growth of careers na kupata new opportunities,Dubai ni ardhi ya opportunities

Naweza kujitolea mfano mm nwenyewe nilipoingia Dubai miaka 3 iliyopita kwa mshahara wa 900 kwa kazi ya kusafisha ndege na mpk leo nilipo kama nisingetoka nyumbani wala nisingekuwa hapa nilipo na kipato ninachokipata na kilichonisaidia ni cheti cha degree cha huko nyumbani i
 
Huteki mtu hapa, wala huambulii figo ya mtu hata mmoja achilia mbali maini.
Conditions for construction workers in Abu Dhabi involve significant labor rights issues, including long hours, wage theft, passport confiscation, hazardous environments (extreme heat, accidents), and debt from recruitment fees, despite UAE laws and government initiatives, with many workers from South Asia facing precarious situations, inadequate support, and exploitation that impacts their health and finances, although there are also ongoing efforts by authorities to improve safety and adherence to labor laws, especially concerning heat breaks and worker awareness
.
Key Challenges
  • Long Hours & Wage Issues: Workers often exceed legal limits (8 hrs/day, 48 hrs/week) and face delayed or withheld wages, notes ECDHR and Human Rights Watch.
  • Recruitment Fees & Debt: Exorbitant fees paid to recruiters leave workers heavily indebted, impacting remittances to families.
  • Passport & Movement Restrictions: Employers often retain passports, preventing workers from leaving or changing jobs, notes Human Rights Watch and Business and Human Rights Centre.
  • Unsafe Conditions: Extreme heat, falls, and hazardous materials are risks, with inadequate medical care and reporting of injuries.
  • Lack of Accountability: Weak enforcement of labor laws, lack of unions, and inadequate oversight by authorities persist, reports Human Rights Watch and Human Rights Watch.
 
Kwa wenye uhitaji wa kazi ya construction helper Abudhabi na una Agent fee ya $1000.

Kazi zipo za kutosha sana,Baada ya kufanyiwa medical checkup,work visa inatoka baada ya wiki moja na ndio utafanya initial payment ya $500 baada ya hapo utasubiri flight ticket na ikitoka utamalizia $500 na utasafirishwa Abudhabi UAE kuanza kazi yako

*Free accommodation
*Free Transport
*Leave salary
*Medical insurance

Mshahara kwa mwezi ni AED 1100
Masaa 10 ya kazi kwa siku 6 ndani ya wiki na siku 1 ya mapumziko
Naona umeweka Slavery Opportunity. Mnaotaka kwenda utumwani muexperience kile fore fathers wetu walipitia, fursa hyo hapo; muichangamkie chapchap mpate fursa ya kutravel back to time.
 
Hamna kitu huyo mboga mboga huyo
Na NYIE ni waaminifu kweli msije mkapiga watu.
Una muhakikishia nini mtu kuwa yupo sehemu salama kwenye kampuni yenu
Mtu ambaye atakufanyia utaratibu wote huko Tanzania ni mwajiriwa wa serikali hiyo dhamana tosha pia unaweza kuja na mwanasheria wako kwamba unatoa pesa yako kwa ajili ya safari na ikienda tofauti utahitaji kurudishiwa pesa yako na mikataba ikasainiwa
 
Usisahau kuwaeleza joto la kule

Changamoto Kuu​


Saa Ndefu za Kazi na Masuala ya Mishahara:
Wafanyakazi mara nyingi huzidi viwango vya kisheria (saa 8 kwa siku, saa 48 kwa wiki) na hukumbana na mishahara kucheleweshwa au kuzuiwa, kulingana na ECDHR na Human Rights Watch.


Ada za Uajiri na Madeni:
Ada kubwa zinazolipwa kwa mawakala wa ajira huacha wafanyakazi wakiwa na madeni makubwa, jambo linaloathiri uwezo wao wa kutuma pesa kwa familia zao.


Kunyimwa Pasipoti na Vikwazo vya Uhuru wa Kusafiri:
Waajiri mara nyingi huhifadhi pasipoti za wafanyakazi, hali inayowazuia kuondoka au kubadilisha kazi, kama inavyoripotiwa na Human Rights Watch na Business and Human Rights Centre.


Mazingira Hatari ya Kazi:
Joto kali, kuanguka, na kukutana na vifaa hatarishi ni hatari za kawaida, huku huduma za matibabu zikiwa duni na majeraha mengi kutoripotiwa.


Ukosefu wa Uwajibikaji:
Utekelezaji dhaifu wa sheria za ajira, ukosefu wa vyama vya wafanyakazi, na usimamizi usioridhisha kutoka kwa mamlaka bado vinaendelea, kulingana na ripoti za Human Rights Watch.
 
Mi napiga hapa kariakoo chini pensi juu vest siyo poa watoto wa mama nendeni Abu dhabi
Nakwambia hivi.
Hakuna sehemu yoyote utamwaga zege Kwa 40,000 hapa Tanzania.
Mimi hizo ndo kazi zangu usipotoshe watu
Ukienda kwenye makampuni ndo kabisa hawalipi Kwa zege bali DAI.
Yaani unalipwa day Yako sio Kwa kazi
 
Nakwambia hivi.
Hakuna sehemu yoyote utamwaga zege Kwa 40,000 hapa Tanzania.
Mimi hizo ndo kazi zangu usipotoshe watu
Ukienda kwenye makampuni ndo kabisa hawalipi Kwa zege bali DAI.
Yaani unalipwa day Yako sio Kwa kazi
Mi nalipwa kwa day au night mara nyingi zege inapigwa usiku wakati nyinyi mmeshalala!
 
Mi nalipwa kwa day au night mara nyingi zege inapigwa usiku wakati nyinyi mmeshalala!
Wafunge kamba hao hao.
Kwanza Sasa hivi zege kwenye magorofa hawabebi Kwa kichwa wanatumia mitambo kazi yenu ni kusambaza tu na mafundi wanapiga rati.alafu ndo mlipwe 40,000 Kwa siku?😄😄😄
 
Wafunge kamba hao hao.
Kwanza Sasa hivi zege kwenye magorofa hawabebi Kwa kichwa wanatumia mitambo kazi yenu ni kusambaza tu na mafundi wanapiga rati.alafu ndo mlipwe 40,000 Kwa siku?😄😄😄
Ngoja niweke kokoto kwenye mixer hapa tutachati baadaye!
 
Back
Top Bottom