dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 25,197
- 57,648
Hivi wewe ni mtanzania au labda haulipi Kodi..., Zingekuwa hizo pesa za Posho zinatoka kwenye miradi ya watu binafsi au ni misaada isiyo na malipo hapo nisingesema kitu hata kila mtu angelipwa laki tatu kwa saa..., Ila sababu ni jasho letu acha utani kabisa na our hard earned cash
Nakubaliana na wewe ila kwa nini posho za wasio na tija ya maana zisipunguzwe au kuondolewa wakalipwa vizuri wenye tija kama akina TL? Haikubaliki mtu ambaye tangu aingie Bungeni hajachangia chochote alipwe sawa na aliyejibu zaidi 80% ya hoja tena kwa weledi na ufasaha usio na shaka!