LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 9,213
- 14,925
Maji marefu,kingunge wanalipwa posho ya nini,teh,teh
Waganga wa Ccm wako kwenye kamati ya ufundi ya chama.
Maji marefu,kingunge wanalipwa posho ya nini,teh,teh
Akuoe uwe mke wake wa pili.
@#^&*)@*&()_+
Midume iliyozoea kuingiliwa utaijua tu! Wala hayajifichi!
We utamsifiaje mwanaume mwenzio kiasi hicho! Mchicha mwiba we!
Akuoe uwe mke wake wa pili.
Sijamsifia we ng'ombe! Kwa nini alipwe sawa na majitu yanayosinzia Bungeni bila hoja yoyote? Kila mtu alipwe sawasawa na uzito wa kazi aliyoifanya. Sio sahihi hata kidogo posho kuwa flat rate.
Jamii Forums... Home of the great thinkers.... Eti hata wewe ni great thinker
You have a good point, ingawa sisemi Lissu aongezewe posho . Kwa kweli haiingii akilini mtu kama Lissu kulipwa sawa na Lusinde au yule kikongwe Maria Hewa eti kwa kuwa tu wote ni wajumbe wa bunge hilo. It's incomprehensible. It's my opinion that the likes of Lusinde and Maria Hewa should get no more than 200k per day.Wanajamvi,
Kwa wale mnaoangalia Bunge Maalum la Katiba mtakubaliana na nami kwamba Mh. Tundu Lissu anafanya mambo ya "kutisha" kuhusu Kanuni za uendeshaji wa Bunge husika. Hivi punde kapangua mbaya hoja za ma"Dr." Pindi Chana, Susan Kolimba, na magamba mengine waliojikanganya kuhusiana na kanuni.
Huyu bingwa anajibu hoja hadi raha ndani ya roho; wallahi huyu jamaa ni mbaya kwenye medani ya Kanuni na Sheria; sijui asingekuwa mle mjengoni mambo yangekuwaje? Sasa hoja yangu ni kwa kuwa tangu hili Bunge lianze takribani wiki tatu sasa, zaidi ya 80% ya hoja zimejibiwa na huyu Kamanda Makini, je, naye posho yake ni 300,000/= tu? Nadhani hata 3,000,000/= ana-deserve. Nawasilisha.
Kwa kuwa anaongea mpaka mapovu yanamtoka na shingo kukakamaa ndio unadhani ana point!,"Tundu Lisi ni mwanasheria anayezichanganya sheria, mpaka anawachanganya chadema wenzake".
Haya dudus ni maoni ya kishabiki. Mimi nilitarajia umsifu Mwenyekiti wa Kamati hii ya rasmu ya kanuni kwa kuendesha vizuri timu hiyo na ku accommodate watu wake kufafanua ipasavyo. Ni vizuri Bunge likajifunza kiasi fulani uongozi huu na hasa Mwenyekiti atakayechaguliwa kuliongoza bunge.Wanajamvi,