msigazi
JF-Expert Member
- Sep 1, 2017
- 456
- 330
Alikuwa anakunywa nini?Acheni unafiki wenu hapa. Yohana na wafuasi wake walikuwa wanafunga waliambiwa wachoyo mwana adamu alikuwa anajua na kunywa Wakamwambi ni mlafi. Kumbe ubishani huu umeanza toka zama hizo. Leo watu wanakulana Kwa nyuma kwakuwa ni Siri wanaona si dhambi ila mtu akinywa bia mbili akalala ni dhambi Acheni unafiki watz. Anaglieni mioyo yenu si ya wengine unafiki chuki ungo ni dhambi mbaya zaidi kuliko chocht duniani.
Au Biblia Wewe unaisoma Kama gazeti!
Neno LA Mungu sio lakutaniatania
Neno ni Neno