Kazi na dawa

Wapi huko mapadre wanafungisha ndoa mashoga?
 
 
Kasome demand and supply halafu huyo Yesu wa wakatoliki ni tofauti na Yesu wa madhehebu mengine? Nyie ni wapiga dili kama wapiga dili wengine et pembeni ya kanisa kuna ka pub et kana kauli mbiu kunywa usilewe sijui hao macsta zikiwashuka chini watafanyaje kama sio kumtafuta flatel
 
We Kilaza si kila mwarabu muislam na hyo ndege ni international
 
Hamnaga kitu kama unachoongea kwamba wamevaa tu mavazi.Hao huwa tunashuhudia kitaani wakipiga hayo mambo hata mapadre wanagonga hizo mambo hatari hatari
 
Ukishaamini hivyo ujue wewe una kasoro na yawezekana ukionja utabaka mpaka kuku au mtoto wako. Watu kabla ya hizi dini mila zetu zilikuwa zinafuata mfumo huu wa kulipa mahali kwa pombe na mifugo, kuzika kwa kunywa pombe na shughuli nyingine, mtoto akizaliwa ni pombe na sherehe. Dini haikuja kuvunja mila za watu na ndiyo maana ukiona dini inavunja mila zako hiyo ikimbie. Yesu basi si Yesu unayemwabudu maana angeanzisha amri zake. Amri kuu alitupa Mpende jirani yako kama nafsi yako. Hakuongelea mambo ya pombe katu. Sigara na pombe kipi ni hatari kwa afya yako?
 
Kuna vitu common kwa dini na madhehebu yote acha kutetea ujinga
 
Usikute thread kaleta msabato povu kwa waislam, kuna video inasambaa pia wanakwaya akiwemo yule mshehereshaji wa kitaifa wanaimba huku wakiwa pub ukitaka njoo inbobo nikurushie
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…