Nini maana ya neno ulevi ? Je Biblia haikatazi Ulafi ? Je nini maana ya Ulafi ? Kwahio binadamu wasile chakula kwatafsiri yako itakua sawa na kwamba ukila chakula ni ulafi kama ukinywa ni ulevi !!!!!!Na biblia inasema usimpe Jirani yako kileo. Pombe ni dhambi ni sawa na mtu afanye zinaa kisha aseme lakini sijafumaniwa au sijapatwa na ugojwa was zinaa. Biblia ikisema ulevi ni dhambi ni dhambi hakuna cha askofu, nabii, mtume, mtume na nabii, mchungaji, mchungaji Kiongozi, padre, kadinari , Papa, babu wa loliondo au malaika anayeweza kubadilisha hilo. Na walevi hawataingia ktk uzima was milele period.
Hio ni akili yako mbovu inayowaza huo uchafuKasome demand and supply halafu huyo Yesu wa wakatoliki ni tofauti na Yesu wa madhehebu mengine? Nyie ni wapiga dili kama wapiga dili wengine et pembeni ya kanisa kuna ka pub et kana kauli mbiu kunywa usilewe sijui hao macsta zikiwashuka chini watafanyaje kama sio kumtafuta flatel
Mmh hapa unataka kumaanisha Bokoharam, Alshabaab, Is na makundi mengineyo yanayoua watu hovyo huku yakimtaja mungu wao Allah kumbe ni maagizo ya mungu wao?! Kama ni hivyo hiyo dini mshirika wake ni shetani wala siyo Mungu huyu mwenye asili ya mema yote, huyo Allah inaonesha ni dhaifu sana iwapo kuua watu ndio kupigania dini yake na tafsiri yake ni kwamba hawezi jipigania mwenye hadi ahitaji unyama wa mwanadamu ili kuweza kutimiza malengo yake.Kuua kupo ktk imani zote ajili ya Mungu, yaani ndani ya Biblia na hata Quran kwa maandiko mengi tuu, ila utaonekana waajabu kama huna Dola kufanya mambo hayo, tena kwa kukusaidia Vatican wanamiliki vyombo vya usalama ambavyo ni hatari zaidi duniani, 'kuhusu la pombe hilo ni lao' maana kwenye linaruhusiwa na pande nyingine halifai kabisa, ktk uislam hilo halifai kabisa lipo wazi. NB jamani someni ili msiwe warahisi kudanganywa elimu ya JF, FB na za udaku hazitoshi.
Kuhusu dini yako sijawahi kupitia kila sehemu ya andiko lenu kuhusu pombe, vipi nikemee nisichokuwa na ushahidi nacho. Sijakaa kimya kufurahia kilichowekwa hapo, ndiyo maana sijakashifu niwaache wenye kuijua musafishe hiyo kashfa anayowapa.
Halafu hiyo picha image processing ya Photoshop imefanyika wapi mimi ni mtaalamu wa hizo kazi hebu zungusha duara nipaone
.
Umejuaje sikielewi...wakti ni miratul rasul...Kama kitu hukielewi vyema ukauliza sijaona ulichozusha hapo kama kimehalalishwa
Unaowaona pichani ni watawa wa kikatoliki. Kanisa katoliki halihubiri dhidi ya unywaji pombe. Kwenye nyumba za mapadri na masista pombe (bia whisky) ni kinywaji cha kawaida kama maji. Makanisa yanayokataza pombe ni haya ya kiprotestanti na kilokole ie kkkt, pentekoste, Assemblies of God nk.Hivi vitabu vya dini wanavyo tufundishia sivinakataza yani hapa ndio dini unaona usanii.
Kilichoandikwa hapo ni tofauti na uzushi uliyoweka kule, uulize kabla ya kujifanya unajua kumbe unaungua jua. Jamaa nawaheshimu sana wakristo kwakuwa nimelelewa na mkristo, ndiyo maana hujaona nikiongelea chochote. Hakuna sehemu ya andiko ninalolifuata linaniambia niwakashifu, jaribu kuwa mstarabu. Mwenye kuujua uislamu vilivyo hawezi kuukashifu ukristo, makosa ya mmoja asiyeelewa usivamie dini nzimaUmejuaje sikielewi...wakti ni miratul rasul...
Hebu iweke hiyo picha hapa unayosema ni photoshop, kuedit hivyo kunaitwa image processing katika mambo ya graphics. Ndiyo maana nikakwambia hiyo picha unayolalamika imeeditiwa zungushia kidoti nipaone walipoedit.hiyo red Kama sivyo niwekee profile yao..
Tatizo nini [emoji15] hiyo ni picha na hata wewe Unaweza kuvaa nguo kama hizo au kanzu na baragashia kwa malengi yako..ndio sababu nikakupa changamoto hiyo...nini kinacho kusibu!?Hebu iweke hiyo picha hapa unayosema ni photoshop, kuedit hivyo kunaitwa image processing katika mambo ya graphics. Ndiyo maana nikakwambia hiyo picha unayolalamika imeeditiwa zungushia kidoti nipaone walipoedit.
Unajua kukaa kimya kuhusu hiyo ishu si kwamba nilifurahia hiyo picha, ningeunga mkono ningekuwa sijafanya uungwana. Ningetetea watu wangeniona natumia jina la kiislamu kuwakingia kivuli, wakinituhumu ni mmoja wenu. Ndiyo maana niliweka ukimya, ukizingatia maandiko yenu sijaingia kiundani
Sasa hapo huwezi kuita photoshopTatizo nini [emoji15] hiyo ni picha na hata wewe Unaweza kuvaa nguo kama hizo au kanzu na baragashia kwa malengi yako..ndio sababu nikakupa changamoto hiyo...nini kinacho kusibu!?
Lugha inawekwa na watu au lugha inaweka watu?Sasa hapo huwezi kuita photoshop
Sisemi hakundi haya yanayojinasibiisha na uislam na kuua watu kuwa yapo sawa, isipokua kuua kumedhibiti ktk imani zote mbili lamaana sana ungeuliza kwenye Biblia ni vipengele vipi vimeonyesha waja wema wameuua ningekuonesha. Kuua kupo na hili halikwepeki haswa kwa Dola iwe ya kiimani ama ya kawaida kutetea utawala labda uwe ni mtu wa kawaida sana kutojua mambo haya.Mmh hapa unataka kumaanisha Bokoharam, Alshabaab, Is na makundi mengineyo yanayoua watu hovyo huku yakimtaja mungu wao Allah kumbe ni maagizo ya mungu wao?! Kama ni hivyo hiyo dini mshirika wake ni shetani wala siyo Mungu huyu mwenye asili ya mema yote, huyo Allah inaonesha ni dhaifu sana iwapo kuua watu ndio kupigania dini yake na tafsiri yake ni kwamba hawezi jipigania mwenye hadi ahitaji unyama wa mwanadamu ili kuweza kutimiza malengo yake.
Umejenga hoja kwa hisia sana kuhusu Vatican, ungekuja na hoja toshelezi nadhani mjadala kuhusu hili ungekuwa na mantiki sana, ila kwa sababu hisia na kuhadithiwa adithiwa vijiweni na kuifanya kuwa source ya hoja yako ndipo ilipokosa nguvu
Mungu alikwisha sema lat-katiru USIUE [emoji123] hiyo Amri ameibadilisha lini na kuruhusu kuua [emoji47] [emoji15]Sisemi hakundi haya yanayojinasibiisha na uislam na kuua watu kuwa yapo sawa, isipokua kuua kumedhibiti ktk imani zote mbili lamaana sana ungeuliza kwenye Biblia ni vipengele vipi vimeonyesha waja wema wameuua ningekuonesha. Kuua kupo na hili halikwepeki haswa kwa Dola iwe ya kiimani ama ya kawaida kutetea utawala labda uwe ni mtu wa kawaida sana kutojua mambo haya.
Kwa damu isiyo na hatia yaani MTU asiyekua na hatia, kufuru ya waziwazi kwa tawala za kiimani lazima utauwawa.Mungu alikwisha sema lat-katiru USIUE [emoji123] hiyo Amri ameibadilisha lini na kuruhusu kuua [emoji47] [emoji15]