Kazi mbili JINAMIZI kwa Diamond

Kazi mbili JINAMIZI kwa Diamond

Hivi kwanini mnakuwa ni wavivu wa kusoma kitu na kukielewa? Mbona mada sasa inageukia segment ya Hawa tuu... Mengine hamyaoni? Basi ni wazi sasa Hawa ndio anabeba msingi wa mada... Please someni reply yangu hapo juu.. What's the meaning of being recognized as a great thinker!? FAKE ID!? 🙁
I think not, itakua ugreat thinker ni umbea na kudiscuss maisha ya watu...ma life coach wa nyuma ya key board
 
Sisi ambao hatuangaliagi bongo fleva tunapata shida, simjui Hawa wala Siujui wimbo huo
 
I think not, itakua ugreat thinker ni umbea na kudiscuss maisha ya watu...ma life coach wa nyuma ya key board
Inategemea na muktadha wa mada husika na uwasilishaji wake
 
Mimi nina mawazo tofauti kabisa,kutoa msaada kwa mtu mliokuwa karibu kabla ya mafanikio ni HIARI na MOYO wa muhusika wala si LAZIMA ,ukiangalia kwa jicho jingine hao aliowashirikisha Diamond hakuwaomba msaada walifanya biashara na aliwalipa ujira wao, kwa mantiki hiyo tie yake na wao ilishakwisha toka walipolipana!maamuzi ya kutoa msaada kwa huyo dada mgonjwa ni ubinadamu wake Diamond wala si lzm,in short tusitumie umaarufu wa Diamond kumuhukumu kwa mambo ya kawaida ya kibinadamu.
 
Rejea sasa anakusubiri.. Hana makuu anahitaji msaada wako... Dunia inakuangalia.... Inasubiri... HAWA anasubiri msaada wako, hana kinyongo
Sentensi hii inenitoa machozi! Rejea Diamond! Uliapa kwenye ikipindi cha Mrisho Mpoto kuwa kamwe hutafirisika. Hivyo msaidie dada huyu hta kumrejesha katika sanaa japo awe mfagiaji kwenye moja ya miradi yako
 
Hivi kwanini mnakuwa ni wavivu wa kusoma kitu na kukielewa? Mbona mada sasa inageukia segment ya Hawa tuu... Mengine hamyaoni? Basi ni wazi sasa Hawa ndio anabeba msingi wa mada... Please someni reply yangu hapo juu.. What's the meaning of being recognized as a great thinker!? FAKE ID!? 🙁
Binfs nimesoma yote ila maisha ya huyu dada yamenitia unyonge! huwezi kupuuzia kama kweli ndiyo yanayompata
 
Back
Top Bottom