Prince jr 47
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 285
- 246
Mzee ungemtumia DM insta ingependeza zaidi,huku sidhani kama yupo
Hapo pia nmeshangaa, ina maana kama malipo walisha malizana..ungekuwa wewe ungefanyaje? pia hivi mtu ukifanya kazi kwenye kampuni X halafu ukaacha kazi miaka ya baadaye ukaumwa je kampuni itachukua jukumu la kukuuguza?
Hakuna popote nilipomlaumu Nasibu wala kushinikiza na hata Hawa mwenyewe hafanyi hivyo... Ni kosa kubwa na ufinyu wa fikra kufanya hivyo
Kikubwa kwa Dai ni kuangalia nyuma alikotoka.... Wimbo wa NITAREJEA unakosa ile ladha yake ya asili kutokana na hali ya sasa ya Hawa... Lakini just imagine itakuwaje siku moja Dai kwa kujitoa tu amsaidie Hawa kisha Hawa apone... Ule wimbo utarejea kwa hisia gani jamii ikimuona Hawa aliyepona! Mwenye afya! Mwenye furaha... Na si Hawa huyu wa sasa aliye kwenye maumivu na mateso makali na uso wa kukata tamaa?
Hivi kwanini mnakuwa ni wavivu wa kusoma kitu na kukielewa? Mbona mada sasa inageukia segment ya Hawa tuu... Mengine hamyaoni? Basi ni wazi sasa Hawa ndio anabeba msingi wa mada... Please someni reply yangu hapo juu.. What's the meaning of being recognized as a great thinker!? FAKE ID!? 🙁kila msichana aliyepita nae akisema alie njaa..duhh siitakua shida! apambane na hali yake tafadhali
Huoni kwamba unapaswa kuwa na taarifa sahihi kabla ya kumshauri mtu. Kwa mfano unadhani ni busara kumshauri mtoto wa kike ambaye tayari ana mimba ajihadhari asipate mimba? Huoni kwamba kwa mtoto huyo was kike ushauri kuhusu mama mjamzito ungemfaa zaidi?Sio jukumu langu
Kaka yote umeandika, watu wanachagua wachangie nini, huwezi kuwapangia. Unajuaje labda wanakubaliana na hizo hoja nyingine ukiacha ya Hawa?Hivi kwanini mnakuwa ni wavivu wa kusoma kitu na kukielewa? Mbona mada sasa inageukia segment ya Hawa tuu... Mengine hamyaoni? Basi ni wazi sasa Hawa ndio anabeba msingi wa mada... Please someni reply yangu hapo juu.. What's the meaning of being recognized as a great thinker!? FAKE ID!? 🙁
Ningetaka kufanya hivyo nadhani ningeeenda direct kwenye page yake Instagram na pengine Facebook! Nafikiri kuna wakati wengi wetu tunashindwa kutambua dhima ya Jamiiforum... Na sasa naona kwenye mada nzima kipengele cha Hawa kimekuwa ndio mjadala...Huoni kwamba unapaswa kuwa na taarifa sahihi kabla ya kumshauri mtu. Kwa mfano unadhani ni busara kumshauri mtoto wa kike ambaye tayari ana mimba ajihadhari asipate mimba? Huoni kwamba kwa mtoto huyo was kike ushauri kuhusu mama mjamzito ungemfaa zaidi?
Asante nilisharekebisha hilo kosa la kuchanganya majina... My apology kwa Maua... Wish her best of luck in her carrier on her way [emoji115] upMkuu naona umechamganya hawa na maua.
Umetoa ushauri mzuri sana ,nimemuona huyo hawa anatia huruma sana,my favourite nyimbo ya mondi ni hiyo.the girl alikuwa mzuri tu.
Jamaa apitie hapa ajifunze kitu.
Ukiona wengi katika hadhira wameelewa kitu katika mlengo fulani inabidi ufike mahali ujitazame uwasilishaji wako. Kama unaona hujaeleweka au umeeleweka tofauti jipange upya ueleweke. Kuteleza ni kawaida tu kwa binadamuNingetaka kufanya hivyo nadhani ningeeenda direct kwenye page yake Instagram na pengine Facebook! Nafikiri kuna wakati wengi wetu tunashindwa kutambua dhima ya Jamiiforum... Na sasa naona kwenye mada nzima kipengele cha Hawa kimekuwa ndio mjadala...
Kumbuka NITAREJEA ni ya miaka karibia mitano sasa.... Hata kama walishawahi kuwa na mahusiano (kipengele nilichokwepa kukiandika) kila mtu alishashika njia yake nakuwa na maisha yake...
Kama maudhui yameshindikana kueleweka basi rejeeni kichwa cha habari!!!
Mada iko wazi sana... Sioni anayemjadili Mobeto ambaye ndio kafanya majanga zaidi... Unajua ni kwanini!? Ni kwa vile hana public sympathy kwasasa tofauti na Hawa ambaye hata maramoja hajawahi kulalamika popote ila kwakuwa ana matatizo ndio maana mjadala unamwangukia yeye... NA HII NDIO HULKA YA BINADAMU WENGIUkiona wengi katika hadhira wameelewa kitu katika mlengo fulani inabidi ufike mahali ujitazame uwasilishaji wako. Kama unaona hujaeleweka au umeeleweka tofauti jipange upya ueleweke. Kuteleza ni kawaida tu kwa binadamu
Mkuu pamoja na kuona kwa mondi.Asante nilisharekebisha hilo kosa la kuchanganya majina... My apology kwa Maua... Wish her best of luck in her carrier on her way [emoji115] up
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]keshaanza na mguu mbaya... Kazichezea pesa kwa kuzikanyaga.. Ni LAANA KUBWA... keshaingia mahubusu.. AJITAFAKARI.... Kule kilingeni huwa nawaasa wanaotoka mahabusu nguo waziache chini ya mgomba kisha waogee maji bahari /maji chumvi kuondoa mikosi kabla hawajaingia ndani ya nyumbaMkuu pamoja na kuona kwa mondi.
Pia tumuombee,najua unamajini kristo,pamoja na ujuzi wa tunguli[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji87]
Ushaelewa Mshana Jr. Kazi kwako Sasa!Mada iko wazi sana... Sioni anayemjadili Mobeto ambaye ndio kafanya majanga zaidi... Unajua ni kwanini!? Ni kwa vile hana public sympathy kwasasa tofauti na Hawa ambaye hata maramoja hajawahi kulalamika popote ila kwakuwa ana matatizo ndio maana mjadala unamwangukia yeye... NA HII NDIO HULKA YA BINADAMU WENGI
Kazi iko kwa ambao hawajaelewa ila hao si muhimu kwasasa...!!! Kipaumbele ni Hawa asaidike apone maradhi yanayomkabiliUshaelewa Mshana Jr. Kazi kwako Sasa!