Kazi mbili JINAMIZI kwa Diamond

Kazi mbili JINAMIZI kwa Diamond

Mwanamke 'kaburi' la wanaume wengi.... Rejea
Adam
Samson
Suleiman
.......
......
........
List ni ndefu. Ongeza yako...

My apology kwa mama zangu watakaoguswa na hii reply
Ndugu tukianza kulist nafikiri server ya Jf itajaa, Diamond na Jiwe wamekosa washauri uyo Mama yake Diamond utadhani ni ex wa Diamond na Dada ake utafikiri ni shemeji yake... Ushamba ni mzigo hata ukiwa na hela aufichik yani umri wa Mama Diamond sio wakukaa Insta kuchambana na vijukuu vyake
 
Kweli inasikitisha kwa tatizo alilo nalo huyo mwanadada.
Lakini tunapaswa kujua kwamba Mondi na Hawa walishamalizana kimalipo,isijengeke dhana kuwa mondi kamdhulumu Hawa,na mafanikio ya mondi yamechagizwa na mambo mengi na sio tu kuwepo kwa Hawa katika ule wimbo.
Kilichopo ni ubinadam tu mondi kumsaidia na isiwe shinikizo.
 
Hakuna popote nilipomlaumu Nasibu wala kushinikiza na hata Hawa mwenyewe hafanyi hivyo... Ni kosa kubwa na ufinyu wa fikra kufanya hivyo
Kikubwa kwa Dai ni kuangalia nyuma alikotoka.... Wimbo wa NITAREJEA unakosa ile ladha yake ya asili kutokana na hali ya sasa ya Hawa... Lakini just imagine itakuwaje siku moja Dai kwa kujitoa tu amsaidie Hawa kisha Hawa apone... Ule wimbo utarejea kwa hisia gani jamii ikimuona Hawa aliyepona! Mwenye afya! Mwenye furaha... Na si Hawa huyu wa sasa aliye kwenye maumivu na mateso makali na uso wa kukata tamaa?
 
ungekuwa wewe ungefanyaje? pia hivi mtu ukifanya kazi kwenye kampuni X halafu ukaacha kazi miaka ya baadaye ukaumwa je kampuni itachukua jukumu la kukuuguza?
 
sidhani kama" atakuelewa'" Maana jinamizi la mafanikio" ndio kwanza linazidi kumuandama
 
Hakuna popote nilipomlaumu Nasibu wala kushinikiza na hata Hawa mwenyewe hafanyi hivyo... Ni kosa kubwa na ufinyu wa fikra kufanya hivyo
Kikubwa kwa Dai ni kuangalia nyuma alikotoka.... Wimbo wa NITAREJEA inakosa ile ladha yake ya asili kutokana na hali ya sasa ya Hawa... Lakini just imagine itakuwaje siku moja Dai kwa kujitoa tu amsaidie Hawa kisha Hawa apone... Ule wimbo utarejea kwa hisia gani jamii ikimuona Hawa aliyepona! Mwenye afya! Mwenye furaha... Na si Hawa huyu wa sasa aliye kwenye maumivu na mateso makali na uso wa kukata tamaa?
Ok mkuu.
 
ungekuwa wewe ungefanyaje? pia hivi mtu ukifanya kazi kwenye kampuni X halafu ukaacha kazi miaka ya baadaye ukaumwa je kampuni itachukua jukumu la kukuuguza?
Naamini kwa hakika kabisa hukuelewa nilichoandika... Chukua muda urudie kusoma kwa makini nilichoandika pengine unaweza kunielewa
 
ungekuwa wewe ungefanyaje? pia hivi mtu ukifanya kazi kwenye kampuni X halafu ukaacha kazi miaka ya baadaye ukaumwa je kampuni itachukua jukumu la kukuuguza?
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Hakuna popote nilipomlaumu Nasibu wala kushinikiza na hata Hawa mwenyewe hafanyi hivyo... Ni kosa kubwa na ufinyu wa fikra kufanya hivyo
Kikubwa kwa Dai ni kuangalia nyuma alikotoka.... Wimbo wa NITAREJEA unakosa ile ladha yake ya asili kutokana na hali ya sasa ya Hawa... Lakini just imagine itakuwaje siku moja Dai kwa kujitoa tu amsaidie Hawa kisha Hawa apone... Ule wimbo utarejea kwa hisia gani jamii ikimuona Hawa aliyepona! Mwenye afya! Mwenye furaha... Na si Hawa huyu wa sasa aliye kwenye maumivu na mateso makali na uso wa kukata tamaa?
 
Ila hapa wakulaumiwa ni Maunda Zorro na Mzee Zorro ndio waliomfundisha kunywa mipombe mikali. Baada ya umaarufu kuisha ndio akaangukia huku kwenye gongo, Diamond platnumz amsaidie kibinaadam kwani washamalizana, ila THT nao wamsaidie kwani wamemtumia sana kwenye show za CMG. Ila dada zangu acheni maisha ya kuiga.
 
Na katika mojawapo ya interview zake alisema wazi kuwa hataki mwanae aje awe msanii kwa sababu wasanii wa kike WANAGONGWA SANA....
Ni bora angemwombea tu, lakini si kutamka hadharani. Hao wasanii aliowagonga nao walizaliwa kama huyo binti yake.
 
Back
Top Bottom