N Nishati New Member Joined Dec 4, 2020 Posts 3 Reaction score 16 May 1, 2023 #1 Nakaribia kumaliza elimu ya degree na sitaki kupoteza karne 1 kusubiri ajira hapa bong nipeni ABC za kufika nchi za kiarabu nikafie huko. Mimi ni wa kiume na kazi yoyote nafanya mradi tu iwe ya halali, umri miaka 24.
Nakaribia kumaliza elimu ya degree na sitaki kupoteza karne 1 kusubiri ajira hapa bong nipeni ABC za kufika nchi za kiarabu nikafie huko. Mimi ni wa kiume na kazi yoyote nafanya mradi tu iwe ya halali, umri miaka 24.
K Kwetusongea Senior Member Joined Nov 30, 2014 Posts 117 Reaction score 45 May 2, 2023 #2 Chek na hawa wanaitwa competitive manpower international limited wanapg zao fb na ok insta
N Nishati New Member Joined Dec 4, 2020 Posts 3 Reaction score 16 May 2, 2023 Thread starter #3 Kwetusongea said: Chek na hawa wanaitwa competitive manpower international limited wanapg zao fb na ok insta Click to expand... Asante sana, ngoja niwacheki chapchap
Kwetusongea said: Chek na hawa wanaitwa competitive manpower international limited wanapg zao fb na ok insta Click to expand... Asante sana, ngoja niwacheki chapchap
Boss Man JF-Expert Member Joined Feb 10, 2022 Posts 458 Reaction score 995 May 3, 2023 #4 Kwetusongea said: Chek na hawa wanaitwa competitive manpower international limited wanapg zao fb na ok insta Click to expand... Ongeza nyama mkuu, hio ni Kampuni ya kuajiri watu huko uarabuni au?
Kwetusongea said: Chek na hawa wanaitwa competitive manpower international limited wanapg zao fb na ok insta Click to expand... Ongeza nyama mkuu, hio ni Kampuni ya kuajiri watu huko uarabuni au?
K Kwetusongea Senior Member Joined Nov 30, 2014 Posts 117 Reaction score 45 May 3, 2023 #5 Boss Man said: Ongeza nyama mkuu, hio ni Kampuni ya kuajiri watu huko uarabuni au? Click to expand... Ndio n agency ya ajira nje ya nchi jaribu kutembelea insta na fb kwa kina hlo utaona
Boss Man said: Ongeza nyama mkuu, hio ni Kampuni ya kuajiri watu huko uarabuni au? Click to expand... Ndio n agency ya ajira nje ya nchi jaribu kutembelea insta na fb kwa kina hlo utaona
REJESHO HURU JF-Expert Member Joined Mar 6, 2014 Posts 5,283 Reaction score 11,553 May 4, 2023 #6 Kwanza unayo hati ya kusafiria Kama huna boom la mwisho kata hati ya kuasafiria
X_INTELLIGENCE JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 10,787 Reaction score 15,012 Jun 12, 2023 #7 Kwetusongea said: Chek na hawa wanaitwa competitive manpower international limited wanapg zao fb na ok insta Click to expand... Vimeo sana hao watu nimejiunga nao miezi 6 iliyo pita Hadi Leo awajatoa feedback yoyote harafu unalipia ada ya kujiunga nao ni elfu 50...
Kwetusongea said: Chek na hawa wanaitwa competitive manpower international limited wanapg zao fb na ok insta Click to expand... Vimeo sana hao watu nimejiunga nao miezi 6 iliyo pita Hadi Leo awajatoa feedback yoyote harafu unalipia ada ya kujiunga nao ni elfu 50...
Lovie Lady JF-Expert Member Joined Feb 5, 2023 Posts 2,826 Reaction score 4,676 Jun 12, 2023 #8 Prince Mhando said: Vimeo sana hao watu nimejiunga nao miezi 6 iliyo pita Hadi Leo awajatoa feedback yoyote harafu unalipia ada ya kujiunga nao ni elfu 50... Click to expand... Aisee🤦♀️
Prince Mhando said: Vimeo sana hao watu nimejiunga nao miezi 6 iliyo pita Hadi Leo awajatoa feedback yoyote harafu unalipia ada ya kujiunga nao ni elfu 50... Click to expand... Aisee🤦♀️
Smart Gang JF-Expert Member Joined Nov 16, 2022 Posts 2,022 Reaction score 3,434 Jun 12, 2023 #9 Ukichinjwa ni sawa.... Ubalozi usisumbuliwe. Nabaki Tz