Kule yupo! Ata mtoto wake anafahamu Kua baba Yake yuko teambazazi!
Dah tena anafaa kuwa mwenyekiti kabisa wa ile #teambazazi miss chagga unatetea baba yako kwa kuwa hujui yuko kwenye TEAMbazazi
Last edited by a moderator:
Kule yupo! Ata mtoto wake anafahamu Kua baba Yake yuko teambazazi!
Dah tena anafaa kuwa mwenyekiti kabisa wa ile #teambazazi miss chagga unatetea baba yako kwa kuwa hujui yuko kwenye TEAMbazazi
baba bye badae ngoja niende hospitali... love u sana
Teh Teh Teh Teh!
Baba mzoefu weye?
Dah tena anafaa kuwa mwenyekiti kabisa wa ile #teambazazi miss chagga unatetea baba yako kwa kuwa hujui yuko kwenye TEAMbazazi
Nenda mwanangu nasubiri majibu ya doctor na ususahau dawa baby wangu
Au hadi muda huu upo? Wewe kweli kiboko, hajitena huyooo
baba nimerudi amna malaria
Pole mwanangu ule matunda na maji kilimanjaro 1.5 utapona baby wangu

sawa baba nakupenda sana baba yangu mzuri
Kasema Hana maralia afu Wewe wata anywe hayo mavitu!
sawa baba nakupenda sana baba yangu mzuri
Thn uende kwa mama yako ukapumzike baadae
Mama yake yupi sasa? Yule umempangia guest?
Mitoto mingine km hii!!!! Inaweza ikawapindua mama zao!
Mbona unamsumbua mtoto wangu? Anadeka kwa baba yake tatizo nini?