Exceptional
Member
- Jan 19, 2014
- 91
- 25
mwache baba mgomvi huyu
U made ma dei miss chagga
mwache baba mgomvi huyu
baba we mwache atuchokoze atapata habari yake
hua tunakuwa na ushahidi,sisingizii mtu...
![]()
U made ma dei miss chagga
Anabahati namskiliza mwanangu kama sio wewe leo angenijua vizuri

Mkuu sasa huu utani
na aombe msamaha
miss chagga unamuona mtu wako? Ata sijasamehe vizuri anakosea tena? Yaani honey wangu ndo anakula ivi au?unaendelea kukosea unasema mama yangu anakula akitembea shana ustarabu omba msamaha... na unataka kusema mama yngu anavaa nguo mbaya
miss chagga unamuona mtu wako? Ata sijasamehe vizuri anakosea tena? Yaani honey wangu ndo anakula ivi au?
Hapo sasa nimekuelewa mwanangu mpendwa miss chagga nimemsamehe Tyta
baba me sitaki me sijamsamehe mpaka akubali kunitolea mahari sasa ...;.;au baba bado unataka nikae na wewe tena mwaka huu?
Hapo sasa nimekuelewa mwanangu mpendwa miss chagga nimemsamehe Tyta
baba me sitaki me sijamsamehe mpaka akubali kunitolea mahari sasa ...;.;au baba bado unataka nikae na wewe tena mwaka huu?
Mwanangu you sure? Kama unaona anaona anafaa kua mkwe wangu mlete nyumbani kwanza mama yako amuone