Kazi kweli kweli

Kazi kweli kweli

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
BDXwbs_CEAAeMNS.jpg:large
 
Yaani kwenye suala la kula mama yako hajinyimi labda niambie niwe namnunulia nini na nini nimpelekee

nunua mboga za majani nyingi na matunda na nyama ya kuku na samaki alafu jifanye unataka kula hivyo vitu kila siku na wanga apunguze ... asubuhi chai na yai la kuchemsha akiweza hili tutaendelea .... vyakula vya sukari usipeleke
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom