Kazi kweli kweli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kazi kweli kweli

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Saint Ivuga, Dec 2, 2011.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  Dec 2, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,520
  Likes Received: 19,943
  Trophy Points: 280
  kutoka ubachela kwenda kuoa ni maisha mawili tofauti(life style) ....ume experience vitu gani katika hiki kipindi? Mfano labda ulikuwa mtu wa kujichanganya kiaina ...je, ushawahi kufanya jambo ambalo ulikuwa umezoea kufanya na ukamuudhi mwenzako?
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Dec 2, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,520
  Likes Received: 19,943
  Trophy Points: 280
  transition period" head ache"
   
 3. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #3
  Dec 2, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Umeoa recently?
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Dec 2, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,520
  Likes Received: 19,943
  Trophy Points: 280
  sina jibu
   
 5. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #5
  Dec 2, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Most of the time new things come with the followings: temptation, curiosity, fear, excitement, interest, routine, boredom, irritation, aversion. Of course you can decide to nurture one of the feelings more than others.
  Na kila kitu in life is a choice and comes with an 'opportunity cost'. by taking this, you accept to lose that.
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Dec 2, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,520
  Likes Received: 19,943
  Trophy Points: 280
  thanks..nimekupata. So i have to sacrifice other things
   
 7. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #7
  Dec 2, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Don't even consider it a sacrifice, just realize that what you are gaining in NOT doing it is greater than what you would have if you had done it... ukianza kufikiria vya sacrifice ndio mwanzo wa kujiskia martyr na kuomba recognition for what you had to give up...
  Give up gladelly, it is a conscious choice you make, being aware of the opportunities coming with your choice.
   
 8. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #8
  Dec 2, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  I can smell lots of serious message here ...pls hope you wont mind ..hebu fafanua in slow motion ... Give up gladelly... it is a conscious choice you make ..being aware of the opportunities coming with your choice ..
   
 9. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #9
  Dec 2, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Is there any particular reasons ..why new events come with the items you mentioned ... ? God I wish it wasn't so! Why?
   
 10. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #10
  Dec 2, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  ... have experienced in many events ...!! Ni mtihani ..ambao singependa kukutana nao ..but there to stay!
   
 11. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #11
  Dec 2, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,132
  Likes Received: 6,624
  Trophy Points: 280
  kwani vipi,
  umefumaniwa.
   
 12. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #12
  Dec 2, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ikiwa you don't take control of the events lazima zitafatana in that sequence (more or less). Na ndio maana you have to be aware of your choice and make the most of it.
   
 13. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #13
  Dec 2, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Najua you know what I mean...
   
 14. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #14
  Dec 2, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  ha ha ha, sikutegemea neno hili toka kwako.

   
 15. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #15
  Dec 2, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  hizo ni opportunity cost na sunk cost, huhitaji kuzifikiria kwa sasa, just enjoy.
   
 16. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #16
  Dec 2, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  mi niliwai kuchati na mvulana mwingine na kumuambia kua nampenda sana alivo na namtamani mnoooooo
  mbaya zaidi mvulana wangu mm mweupe,mi nikamwambia yule si unajua weusi wana ladha zao tofauti na tamu sana(naturally)
  then pia cku ingine nikamwambia nije lini unipe mambo........yule kaka akauliza kwani (alex) sio jina lake...vip si atakupa ......mi nikajibu huyu hawezi kutoa mambo........
  nikazifuta zote izo text ila cku nikaandika tena mambo vipi mbona umenisusa ivo ila hakunijibu mi nikatoka mvulana wangu akaja akaziona na zile za nyuma zote fb bwana loh! basi ndio hajanisamehe hadi leo
  SASA WW CJUI UMEFANYA NN MPAKA UNATAKA MAONI
  funguka kijana upate msaaada
   
 17. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #17
  Dec 2, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  hahhaaaaaaaaaaaaa mwaka wako huu
  wereva
   
 18. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #18
  Dec 2, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Aisee...
   
 19. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #19
  Dec 2, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  so mpaka sasa upo lonely mbaya :smash: :smash: :poa
   
 20. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #20
  Dec 2, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ngoja tujibu swali sasa. Mi nadhani transitional period haitakiwi kulazimishwa.
  Kuna vitu vingi ulukua unafanya mwenyewe, sio kwa lengo la kumficha mpenzi wako iloa tu ulikua unavipenda sana. na yeye vile vile ana baadhi ya vitu anapenda kufanya peke yake au na rafiki/familia ambavyo sio lazima akushirikishe.
  watu wakioana wanataka kulazimisha kila kitu wafanye pamoja, sio sawa. Kama unapenda ka 'outting' ka weekend na rafiki zako, lazima ujue kwamba to spend more time with her unatakiwa kua 'a bad beer-pal'. na kama utaenda basi get her approval but at first asikulazimishi kwenda nae.
  Vile vile, kama yeye anapenda klumtembelea mama yake au ndugu yake, au kama anapenda kukaribisha wageni nyumbani lazima aelewe kua muda anao spend na wenyewe ni muda angeweza kuspend na wewe. na kama utamkubalia kwenda/kupokea, aelewe kua sio lazima wewe uende nae.
  With time mtajifunza kupenda hobbies zenu...
   
Loading...