Kazi jaman,wanajf | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kazi jaman,wanajf

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Emeka Onono, Aug 23, 2011.

 1. E

  Emeka Onono Senior Member

  #1
  Aug 23, 2011
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 114
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nina digrii ya nutrition kutoka SUA,na skilss on data collection and data analysis,project monitoring and evaluation,proposal and report writing,natafuta kaz wandugu,naona kila nikiomba nakosa,sina msaada wandugu,mliokuwa kwenye system naomba tusaidiane wanajf,kuna moja imetangazwa humu jf na savanna forever wanataka field researcher nimetuma maombi,yawezekana staff wa hii NGo mpo humu jamvin,naomba msaada wenu tafadhal na sehemu zingne pia,wenye nafasi mnijuze jaman kwa simu hii 0753-114524 au 0712-789680,asanteni
   
 2. Eshacky

  Eshacky JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 966
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Usilie kijana, kaza moyo! Km ipo ipo tu, No sweat,no sweet!
   
Loading...