Kisigino cha Funza
Senior Member
- Jun 30, 2015
- 151
- 68
Lumumba tokeni shimoni
Ule ugonjwa wa kutetemeka umewarudia hawawezi hata kugusa keypads...
Miye nina 33 hadi sasa. Shingo za ukawa baharinikwetu tupo kumi tunaona october mbali yani tuna hasira na ccm
Ngojeni mapigo ya kitengo mtakimbiana
ndoto za bangi na viroba
mi nashambulia ukumbini kwenye maharusi,nahamasisha kupiga kura oct 25,nachangamsha ukumbi kwa kibwagizo cha pipoooooooooooz
Mnashambulia tu huku mmeacha goli(lango) lenu lipo wazi+poor defence, mtafungwa 500-2