Kazi inaanza na majeshi yapo imara

Kazi inaanza na majeshi yapo imara

Mimi huwa naanza na mbunge, diwani na viongozi wa mitaa!! Sijawahi kushindwa na safari hii kazi ni nyepesi kweli! Kwanza nilikuwa kiongozi kwenye vituo vyote vya kujiandikisha kupiga kura jimbo la Kawe! Halima Mdee, madiwani na rais ni ushindi wa kishindo hadi watu watashangaa!!
 
mkuu mimi familia mpaka wajukuu wapo tayari na vipalata vyao nime watunzia wasije wakapoteza,

yaani 25 oct ni kipigo cha paka mwizi kwa ccm,
Hahahaaa mkuu tuko sawa kwani mimi nimekamata cha mama na mdogo wangu, mzee chake anacho peke yake maana alivyo na hasira na CCM haniamini anaona kama nitapoteza panga lake.
#TogetherWeStand
 
Msisahau kusini tulipigana tangu enzi za majimaji, kumleta mnyamwezi hatutaelewana lugha
 
kwa hii timu wakuu eb washaurin makamanda kizur kula na nduguyo wasmsahau jk, na hata jpm wampe hata ukurugenz
 
Hahahaaa mkuu tuko sawa kwani mimi nimekamata cha mama na mdogo wangu, mzee chake anacho peke yake maana alivyo na hasira na CCM haniamini anaona kama nitapoteza panga lake.
#TogetherWeStand

Bia moja moja na mwisho namalizia na wine lainiiii ili kuwaita pamoja ma Baa medi niwaelezee utamu wa ukawa haaahhaaaaa Lowasaaaa woyeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Mamaaaaaaaaaaaaaaa

Ukawaaaaaaaaaaaaaa

Lowassaaaaaaaaaaaaa tunabadili gia juu kwa juu.... mmmmmmaninaaaaaa wallaaahh.....rahaaaaaaa rahaaaaaaaa....uuuuhhhhh....duuuuu...uwiiiiiiiiiiii...tamuuuuuuuu...uwaaaaaa....iyoooooooio.....Ukawaaaaaaaaaa....shiiiiit....🙌🙌🙌🙌🙌💏💏💏👏👏👏👏
 
Hahahaaaaa mkuu umeshapiga vitu vyako tayari. ..
Huyu Lowassa ataua watu jamani!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom