Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,894
- 52,486
Ugonjwa wa kutetemeka ha, ha. Mgombea wa Ukawa mwangalieni vizuri
Jiangalieni kwanza Lumumba...
Ugonjwa wa kutetemeka ha, ha. Mgombea wa Ukawa mwangalieni vizuri
Ila wanamapinduzi tufanye kweli tusijeishia kuhamasishana tu huku mtandaoni, nafasi ni pekee sana hii tuliyopata ya kuliondoa hili zimwi.
Nimekuja kugundua kuna dunia mbili, ya mtandaoni na halisi. Ben Saanane amenifungua macho kwa matokeo yake..
cc Tetty