Kazi inaanza na majeshi yapo imara

Kazi inaanza na majeshi yapo imara

Mbowe na Mbatia, wanashambulia kaskazini mwa Tanzania

Dr. Slaa anashambulia kutoka kanda ya ziwa na magharibi

Prof. Lipumba anashambulia kutoka kusini

Sherif na Jusa wanashambulia kutoka Pemba

Homood & Monyo (shemeji yake Karume) watashambulia kutoka Unguja

Don himself atashambulia nyanda za juu kusini mwa Tanzania...

Kundi maalum know as (SOT) linalojumuisha Lembeli, Tundu Lisu, Mnyika, Mdee, Bulaya, Lema, Msigwa, Wenje watashambulia mikoa ya kati.....

Kutakuwa na chopa 8 ambalo litatumiwa na wahusika hapo juu..

Magari madogo 300..... Za vijana wa M4C + 4U Movement + Team Lowassa 4 President + Friends of Lowassa + Team Lowassa + Samunge Club+ Bodaboda + Gwajima na Maaskofu na Masheikh

Maskini CCm chama chakavu ndio mmeamua kukifanyia ivi hata bila huruma...
R I P
 
Mbowe na Mbatia, wanashambulia kaskazini mwa Tanzania

Dr. Slaa anashambulia kutoka kanda ya ziwa na magharibi

Prof. Lipumba anashambulia kutoka kusini

Sherif na Jusa wanashambulia kutoka Pemba

Homood & Monyo (shemeji yake Karume) watashambulia kutoka Unguja

Don himself atashambulia nyanda za juu kusini mwa Tanzania...

Kundi maalum know as (SOT) linalojumuisha Lembeli, Tundu Lisu, Mnyika, Mdee, Bulaya, Lema, Msigwa, Wenje watashambulia mikoa ya kati.....

Kutakuwa na chopa 8 ambalo litatumiwa na wahusika hapo juu..

Magari madogo 300..... Za vijana wa M4C + 4U Movement + Team Lowassa 4 President + Friends of Lowassa + Team Lowassa + Samunge Club+ Bodaboda + Gwajima na Maaskofu na Masheikh

mtakuwa mnachekea mashimon mwisho wenu umefika ma dia
 
Msijifurahishe. Mungu ndiye mwenye maamuzi ya mwisho kwa kila jambo. Hivyo anzeni kwanza na maombi kabla ya hayo yote.
 
Khamisi Mgeja yupo wapi? Aletwe apewe majukumu, nadhani ameshapata ahuweni sasa maana Safari ya matumaini imeanza tena kwa kasi ya ajabu, asije kulalama kuachwa na Mzee.
 
Mimi na wezeee wezangu vijiwe vya kahawa ahhhh " UKAWA MNA MBWEMBWE"
 
Ngoja sisi wauza nondo na misumari tuanze mazoezi mepesi.
 
Hili group mm nitashambulia, mniachie make wao huwa wanajidai wajuaji balaaa ila kwangu lazima watie mguu CHADEMA.

(Makondakta, dereva taxi/Hiace, Wauza mahindi choma, limao, viazi, mihogo zote, mishikaki, wauza pweza, wacheza kamali, wazee wa gongo, mama ntilie, wachora kucha, chinga wote kati, wauza mitumba, vijiwe vya kahawa, fundi viatu na vijiwe vyao bila kusahu Makahaba/Mashoga-hawa nitawambia adui wenu ni CCM-tutafungua viwanda vyote vya Nyerere hivyo ajira zitakuwa za kubagua.
 
Mbowe na Mbatia, wanashambulia kaskazini mwa Tanzania

Dr. Slaa anashambulia kutoka kanda ya ziwa na magharibi

Prof. Lipumba anashambulia kutoka kusini

Sherif na Jusa wanashambulia kutoka Pemba

Homood & Monyo (shemeji yake Karume) watashambulia kutoka Unguja

Don himself atashambulia nyanda za juu kusini mwa Tanzania...

Kundi maalum know as (SOT) linalojumuisha Lembeli, Tundu Lisu, Mnyika, Mdee, Bulaya, Lema, Msigwa, Wenje watashambulia mikoa ya kati.....

Kutakuwa na chopa 8 ambalo litatumiwa na wahusika hapo juu..

Magari madogo 300..... Za vijana wa M4C + 4U Movement + Team Lowassa 4 President + Friends of Lowassa + Team Lowassa + Samunge Club+ Bodaboda + Gwajima na Maaskofu na Masheikh

List imepangwa vilivyo ila hapo kwa maaskofu naamini watakuwa wa madhehebu ya kilutheri na haya mengine. Kwa wa roma inaweza ikawepo tofauti kidogo na wakaegemea ccm zaidi. Kwanza tunajua ukaribu wa kadinali pengo na ukaribu wa ikulu. Kwao mkristo haswa na anaetakiwa kupigiwa upatu na wao ni mkristo mroma. Nae ameshapatikana ccm TINGA TINGA.
 
Acha tu moto uwake!!! tumechoka na hii mikaburu myeusi mifisiem inayokula bila kunawa!! naiona Tz mpya inakuja kupitia ukawa
 
Saa ya ukombozi ni sasa,UKAWA tunakimbiza tupo pamoja makamanda kila mtu kwa nafasi yake ashambulie anapoweza na hasipopaweza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom