bandu bandu
JF-Expert Member
- Sep 7, 2013
- 2,747
- 874
Usituletee balaa kibarua kikaota nyasi
Wacha uoga wewe,unaogopa nini wakati ccm wanakulipa mshahara wa Sh. 200,000/= kwa mwezi,simama uhesabiwe ,jiunge na UKAWA
Usituletee balaa kibarua kikaota nyasi
Mnaandika lakini??!!!
Hili group mm nitashambulia, mniachie make wao huwa wanajidai wajuaji balaaa ila kwangu lazima watie mguu CHADEMA.
(Makondakta, dereva taxi/Hiace, Wauza mahindi choma, limao, viazi, mihogo zote, mishikaki, wauza pweza, wacheza kamali, wazee wa gongo, mama ntilie, wachora kucha, chinga wote kati, wauza mitumba, vijiwe vya kahawa, fundi viatu na vijiwe vyao bila kusahu Makahaba/Mashoga-hawa nitawambia adui wenu ni CCM-tutafungua viwanda vyote vya Nyerere hivyo ajira zitakuwa za kubagua.
Maskini CCm chama chakavu ndio mmeamua kukifanyia ivi hata bila huruma...
R I P
Wengine tutakuwa vikosini kuhamasisha JWTZ Wengi wapige kura kwa Lowassa.
Hii comment na hiyo ID yako vimenipa simanzi sana mkuu!mi niko na walemavu wenzangu wa ngozi na shambulia maeneo tunayo windwa yaani hawa sijui
Mnaandika lakini??!!!
Mbowe na Mbatia, wanashambulia kaskazini mwa Tanzania
Dr. Slaa anashambulia kutoka kanda ya ziwa na magharibi
Prof. Lipumba anashambulia kutoka kusini
Sherif na Jusa wanashambulia kutoka Pemba
Homood & Monyo (shemeji yake Karume) watashambulia kutoka Unguja
Don himself atashambulia nyanda za juu kusini mwa Tanzania...
Kundi maalum know as (SOT) linalojumuisha Lembeli, Tundu Lisu, Mnyika, Mdee, Bulaya, Lema, Msigwa, Wenje watashambulia mikoa ya kati.....
Kutakuwa na chopa 8 ambalo litatumiwa na wahusika hapo juu..
Magari madogo 300..... Za vijana wa M4C + 4U Movement + Team Lowassa 4 President + Friends of Lowassa + Team Lowassa + Samunge Club+ Bodaboda + Gwajima na Maaskofu na Masheikh
Wacha uoga wewe,unaogopa nini wakati ccm wanakulipa mshahara wa Sh. 200,000/= kwa mwezi,simama uhesabiwe ,jiunge na UKAWA
hivi wakuu MAGUFULI mnamchukulia poa sana eeeh? jamani tuwekeni akiba ya maneno oktoba sio mbali tutakuja kutukanana matusi ya nguoni humu jukwaani shauri lenu