Kazi inaanza na majeshi yapo imara

Kazi inaanza na majeshi yapo imara

Jilindeni na maneno yenu Jamani. Oktoba tutapoteana humu ndani. Hadi sasa ni akili za Viroba tu zinazoonesha Luwasha kushinda urais mwaka huu. Mtakumbwa na Tingatinga Magufuli mkose pa kuficha nyuso zenu.
 
Ila wanamapinduzi tufanye kweli tusijeishia kuhamasishana tu huku mtandaoni, nafasi ni pekee sana hii tuliyopata ya kuliondoa hili zimwi.

Nimekuja kugundua kuna dunia mbili, ya mtandaoni na halisi. Ben Saanane amenifungua macho kwa matokeo yake..

cc Tetty
 
Last edited by a moderator:
kigumu chama cha mapinduzi......kigumuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
zidumu milele fikra sahihi za mwenekiti wa ccm....zidumuuuuuuuuuuuu
Idumu siasa ya ujamaa na kujitenga......idumuuuuuuuuuuuuuuuuu

EE ee nalia nangojea pigo kupanda
Niko kilimani narandaeee nangojea pigo kupanda
Pipoooooosiiiiiiiii......pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Ila wanamapinduzi tufanye kweli tusijeishia kuhamasishana tu huku mtandaoni, nafasi ni pekee sana hii tuliyopata ya kuliondoa hili zimwi.

Nimekuja kugundua kuna dunia mbili, ya mtandaoni na halisi. Ben Saanane amenifungua macho kwa matokeo yake..

cc Tetty

Kwani imekuwaje?Mie mbona nilijua hawezi kuchomoza huko?
 
Yaani kwenye logo yao ya JEMBE NA NYUNDO , UKAWA wametoroka na JEMBE tumewaachia nyundo wanatwangana sasa
 
Kwani imekuwaje?Mie mbona nilijua hawezi kuchomoza huko?

Ukiona alivyokuwa anashusha NONDO hapa mtandaoni ungedhani hata huko dunia ya pili mambo yengekuwa mazuri kwake. Fundisho tosha kwamba hapa ndio ila tuweke nguvu zaidi huku mitaani.
 
Ila wanamapinduzi tufanye kweli tusijeishia kuhamasishana tu huku mtandaoni, nafasi ni pekee sana hii tuliyopata ya kuliondoa hili zimwi.

Nimekuja kugundua kuna dunia mbili, ya mtandaoni na halisi. Ben Saanane amenifungua macho kwa matokeo yake..

cc Tetty
Hahahaaaaa mkuu wewe mchokozi sana, mwenzio maumivu yanakaribia kuisha wewe unakumbushia!
 
Last edited by a moderator:
Yaani kwenye logo yao ya JEMBE NA NYUNDO , UKAWA wametoroka na JEMBE tumewaachia nyundo wanatwangana sasa
Lol naona Ndugai jana kaitumia nyundo vyema kidogo ampumzishe mtia nia mwenzie!
 
Kwa kuonyesha upendo mwenye nafasi amtembelee Lizaboni pale MOI kumjulia hali maana kapelekwa huko mchana huu (unconfirmed) kwa haya maradhi mapya
 
Last edited by a moderator:
Wengine mashambulizi tunaanzia kwenye vijiwe vya vijana wote kazi ni moja kuing'oa CCM madarakan
 
Baby, niacheni tu... nina dinda tu... yaani mwanaume nguo hazikai, I FEEL over EXCITED, mentally, physically, sexually...ni furahaaa kuuuuuu, nadindaa tu....yaaaaaniii

Reason: UKAWAAAAAAAAAAAA, chademaaaaaaa, wamemleta Lowassaaaaaaaaaa, yaani USHINDIIIIIII wa kishindooooo, we britons we call it, LANDSLIDE VICTORY....October 2015 and Lowassa will win and JESUS will be back again...

Jamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, utamuuuuuuuuuuu, ooooooohhhh....yaani Siasa za hivi tamuuuuuuuu, Lowassaaaaaaaaaaa the 5th President of Tanzania.....

aaaaaaaaahhhhh....thereeeeee...bby... UKAWAAaa mmekuwa ma professors of politics woooooote...."!!!

💏💏💏💏💏💏💏💏💏💏

Mkuu huu munkari umekupanda mazima,kama una ndugu wa karibuni wasicheze mbali.
 
Mbowe na Mbatia, wanashambulia kaskazini mwa Tanzania

Dr. Slaa anashambulia kutoka kanda ya ziwa na magharibi

Prof. Lipumba anashambulia kutoka kusini

Sherif na Jusa wanashambulia kutoka Pemba

Homood & Monyo (shemeji yake Karume) watashambulia kutoka Unguja

Don himself atashambulia nyanda za juu kusini mwa Tanzania...

Kundi maalum know as (SOT) linalojumuisha Lembeli, Tundu Lisu, Mnyika, Mdee, Bulaya, Lema, Msigwa, Wenje watashambulia mikoa ya kati.....

Kutakuwa na chopa 8 ambalo litatumiwa na wahusika hapo juu..

Magari madogo 300..... Za vijana wa M4C + 4U Movement + Team Lowassa 4 President + Friends of Lowassa + Team Lowassa + Samunge Club+ Bodaboda + Gwajima na Maaskofu na Masheikh

ahaaaaaaaaaaa loh siasa tamu loh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom