Tulianza Juzi boda ya Songwe Kyela mpaka Mbeya Mjini, tumekutana na Traffic Police from Makambako to Pwani wanakubali sana Jembe letu na wanapraise maamuzi ya Ukawa. Tunapiga simu kwa ndugu jamaa na marafiki ni full raha. Tumeshikamani na tulinde sana uhai wa umoja huu na kumlinda sana Lowasa CCM wasijekumdhuru. Makanisanai tunamuombea, Misikitini tumamuombea na katika familia zetu na hata tukiwa njiani tunamuombea na tunaombea umoja na mshikamano katika Ukawa. Fahari ya ukawa ni Maelewano na wanavyofanya kazi kiteam! Ufanisi wa maamuzi na maridhiano. Tuondoe ubinafsi kwa sasa tupate Ikulu kwanza then mengine yatasetiwa kuendana na makubaliano na mengineyo. Tumuombe Mungu aangaze kila hatua tunayoipiga umoja utawale na busara kujibu huja na kuwashauri vyema wachache wasioelewa Umuhimu wa Jemnbe lowasa. Ukawa tumefanya Sacrifice na this is the best price for the Love of our country and his people ili kungoa na kukata mizizi ya ibilisi CCM. Ni kazi nzito tuwe imara na tuone mbele kwa pamoja. TOGETHER WE WILL BRING CHANGE! TOGETHER WE WILL BRING NWE TANZANIA ! TOGETHER WE WILL WIN! LET US BE THE CATALIST FOR THE CHANGE WE ARE WERE PROMISED BY THE ALMIGHTY GOD.