Nifah
Platinum Member
- Feb 12, 2014
- 34,418
- 82,410
HahahaaaaaBia moja moja na mwisho namalizia na wine lainiiii ili kuwaita pamoja ma Baa medi niwaelezee utamu wa ukawa haaahhaaaaa Lowasaaaa woyeeeeeeeeeeeeeeeee
HahahaaaaaBia moja moja na mwisho namalizia na wine lainiiii ili kuwaita pamoja ma Baa medi niwaelezee utamu wa ukawa haaahhaaaaa Lowasaaaa woyeeeeeeeeeeeeeeeee
Napenda niujulishe umma wa watanzania kuwa baada ya kuteseka sana kwenye foleni zaidi ya masaa 15 nimepata kichinjio mimi na mke wangu hakika patachimbika mwaka huu.
Pole na hongera sana mkuu. Kihifadhi hicho kichinjio pamoja na cha wifi pahala salama kabisa.Napenda niujulishe umma wa watanzania kuwa baada ya kuteseka sana kwenye foleni zaidi ya masaa 15 nimepata kichinjio mimi na mke wangu hakika patachimbika mwaka huu.
Hahahaaa mkuu tuko sawa kwani mimi nimekamata cha mama na mdogo wangu, mzee chake anacho peke yake maana alivyo na hasira na CCM haniamini anaona kama nitapoteza panga lake.
#TogetherWeStand
Mnaandika lakini??!!!
waalimu tunashambulia mashuleni. hapo poa sana.
Mimi nimeshamaliza kazi.
Mkuu huoni ninaorezesha hapa?
waalimu tunashambulia mashuleni. hapo poa sana.
Wengine tunahamasisha jamaa na marafiki maana familia tumeshakubaliana 100% ni UKAWA tu.
mi nitakua kikosi cha ardhini nashambulia door to door,mtaa kwa mtaa kimya kimya babakeee!! oktoba 25 kwa heriiii!!!
Hahahaaaaa mkuu umeshapiga vitu vyako tayari. ..
Huyu Lowassa ataua watu jamani!
Nakuona mkuu na avatar yako ya harusini...bila shaka wewe ni MC.mi nashambulia ukumbini kwenye maharusi,nahamasisha kupiga kura oct 25,nachangamsha ukumbi kwa kibwagizo cha pipoooooooooooz
Hili ni picha la Kikorea bwana...Hili picha kama sio APOKALYPTO basi ni LA KI VIETNAM, yaani PORI KWA PORI, CHAKA kwa CHAKA!
Mbowe na Mbatia, wanashambulia kaskazini mwa Tanzania
Dr. Slaa anashambulia kutoka kanda ya ziwa na magharibi
Prof. Lipumba anashambulia kutoka kusini
Sherif na Jusa wanashambulia kutoka Pemba
Homood & Monyo (shemeji yake Karume) watashambulia kutoka Unguja
Don himself atashambulia nyanda za juu kusini mwa Tanzania...
Kundi maalum know as (SOT) linalojumuisha Lembeli, Tundu Lisu, Mnyika, Mdee, Bulaya, Lema, Msigwa, Wenje watashambulia mikoa ya kati.....
Kutakuwa na chopa 8 ambalo litatumiwa na wahusika hapo juu..
Magari madogo 300..... Za vijana wa M4C + 4U Movement + Team Lowassa 4 President + Friends of Lowassa + Team Lowassa + Samunge Club+ Bodaboda + Gwajima na Maaskofu na Masheikh