Kazi brac

Anna pita

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
227
425
nafasi za kazi brac arusha na mwanza ni

1) Accauntacy nafasi 4, arusha.
-degree/diploma ya accauntacy

2)Afisa mikopo nafasi 24, nafasi 15 arusha, nafasi 9 mwanza
sifa za amwombaji
- awe na elimu ya form four na kuendelea
- awe na lugha nzuri kwa watu
mwenye ujuzi na computer atapewa kipaumbele
maombi yote yatumwe kwa email
jaclinemassawe@yahoo.com maombi yatumwe kabla ya tarehe 2/8/2012
 
Inakuwaje maombi yanapitia kwa anuani ya mtu binafsi tenadomain ya YAHOO!!!

ndio poor procurement hiyo

maombi yakipita kwa mtu binafsi, rest assured hakuna fairness... it means brac doesnt have a good HR system

Knowing BRAC Bangladesh na walivyoexpand na kutoa results kubwa, it is somehow disappointing kuhusishwa na ajiri style hii

something needs to be done soon....

BTW, Brac wana domain and website
 
Kwa kuanzia sio vibaya kama hauna ajira, ila mishahara yao ni 300,000 ila hawaangalii level yako ya elimu wote mnalipwa sawa, hata uwe na degree, diploma hata certificate
 
ndio poor procurement hiyo

maombi yakipita kwa mtu binafsi, rest assured hakuna fairness... it means brac doesnt have a good HR system

Knowing BRAC Bangladesh na walivyoexpand na kutoa results kubwa, it is somehow disappointing kuhusishwa na ajiri style hii

something needs to be done soon....

BTW, Brac wana domain and website

operation imepita kwa waliokuwepo hivyo kupelekea kusimamishwa kazi na watu wanahitajika kwa haraka kwani vikundi vingi havina mao
afisa, hivyo nimechukua jukum hili pia kuna matangazo sehem husika.
 
operation imepita kwa waliokuwepo hivyo kupelekea kusimamishwa kazi na watu wanahitajika kwa haraka kwani vikundi vingi havina mao
afisa, hivyo nimechukua jukum hili pia kuna matangazo sehem husika.
very poor reason. kwa hiyo kwa kutumia anuani yako binafsi ndio watu watapatikana kwa haraka?
 
unatuma cv au nini?kama ni barua vp khs addres ya recipient or receiver mbna hujatuwekea?na unafanya mambo kihuni huni alaaaah
 
operation imepita kwa waliokuwepo hivyo kupelekea kusimamishwa kazi na watu wanahitajika kwa haraka kwani vikundi vingi havina mao
afisa, hivyo nimechukua jukum hili pia kuna matangazo sehem husika.

thanks

But hamuwezi kutatua matatizo kwa style iliyowafukuzisha wengine.... what you are doing is not best practice; na recruitment zina principles huwezi source for long term kwa emergecy strategies. wekeni contrcators kwa muda while recruiting for long time, au basi tumieni emails za brac, you could even create email kama brachiring@XXXXXX ila hiyo ya mathawee sio kabisa

anyway, all the best
 
nafasi za kazi brac arusha na mwanza ni

1) Accauntacy nafasi 4, arusha.
-degree/diploma ya accauntacy

2)Afisa mikopo nafasi 24, nafasi 15 arusha, nafasi 9 mwanza
sifa za amwombaji
- awe na elimu ya form four na kuendelea
- awe na lugha nzuri kwa watu
mwenye ujuzi na computer atapewa kipaumbele
maombi yote yatumwe kwa email
jaclinemassawe@yahoo.com maombi yatumwe kabla ya tarehe 2/8/2012
SASA KWA KUTUMIA HIYO EMAIL MAOMBI YATAWAFIKIA WABOS WA BREC JAMAN??? TUPE UHAKIKA MTOA MADA. Otherwise asante kwa kutujuza
 
inawezekana mtoa email akawa yuko sahihi maana watu wenyewe hawaoni hatari kutumia contact address ya mtu kwa ajili ya shughuli za kiofisi .lingne la kuwatahadharisha kila nafasi ya mbongo ni assistance,mfano assistance area accountant for degree holder,assistance branch account for diploma holder.salary yao jaman ni 400000 for area account,250000 for branch accountant,but hizo ni gross.pia kwa community organizer ni 250000.other allowance ni lunch 1400 per day na inategemea mahudhurio yako kazini ndo uipate hiyo lunch yeto at the end of the month.ushauri wangu kwenu kama ndo unatoka chuo nivizur ukaenda kuchukua expriance ila kama ulipata kufanya kaz somewhere si mahal pazuri maana hakuna kona wala kijimwanya cha malupulupu na muwe tayar kutumika haswa.ila kwa co ombeni nafasi hz ila muulize wenyej wenu kwanin wengne walifukuzwa? Lastly mazingira ya kaz ni magumu na unapo anza kazi hupewi hata kumi so jaman wanajamii msije mkafunga safari toka kigoma mpaka arusha wakati pesa ya kuanzia maisha hamna,mtaumbuka.nimepata kufanya kaz nao kwa muda wa mwaka 1 na miez 7.anayetaka maelezo anaweza kuni pm
 
Inakuwaje maombi yanapitia kwa anuani ya mtu binafsi tena domain ya YAHOO!!!

Usishangae sana mkuu maana hii maneno ilishawahi tokea hata kwa ofisi kuu ya nchi. Si unakumbuka maswali kwa raisi yalielekezwa kwa kutumia domain ya yahoo ili hali ikulu in website yake? Ndo wabongo tulivyo kamanda!
 
Inakuwaje maombi yanapitia kwa anuani ya mtu binafsi tena domain ya YAHOO!!!

Ndugu yangu wewe tuma maombi tu usiangalie anwani, kama sifa unazo wewe apply tuache kukariri mambo.
Mara nyingine makampuni huwa hayapendi kuweka wazi address zao officially hasa ktk mambo ya kuajiri ni kwa sababu zao wao wenyewe kutegeneana na HR policy waliojiwekea.
Mimi niliwahi kufanya kazi ktk kampuni fulani ambayo ktk matangazo yake ya kazi walikuwa hawaweki jina la kampuni ila wanaweka anwani ya posta na email wanatumia yahoo ID.
Kwa hilo lisikupe shida ndugu you just apply
Nawasilisha
 
nilishawah kupost kazi humu.....mpk povu lilinitoka...anayetaka kutuma atume tuu....nyie mnaohoji naamini ajira mnazo ndo maana.....
 
nilishawah kupost kazi humu.....mpk povu lilinitoka...anayetaka kutuma atume tuu....nyie mnaohoji naamini ajira mnazo ndo maana.....

kaka kuna watu humu wanacomment katika computer za ofisini huku wana vijiti vya nyama midomoni, anachekecheka na grace pembeni, ajira kaipata kwa mgongo wa baba mkubwa au mjomba, na wengine mke wa mjomba au shemeji zao wanaowakazia dada zao, hao ndio wakatishaji tamaa watu. hawajui mateso yam kiakili ya kukaa bila kazi, na bila elimu wala mwanga wa kutokea]
 
unatuma cv au nini?kama ni barua vp khs addres ya recipient or receiver mbna hujatuwekea?na unafanya mambo kihuni huni alaaaah

unajua nachoamini mm hakuna mtu anaelazimishwa kitu kama unaona uhuni si uache kwani nimekufata nikakulazimisha, unajua kila kitu niimani kama hauna imani baki ulipo waache wanao amin watume
 
nilishawah kupost kazi humu.....mpk povu lilinitoka...anayetaka kutuma atume tuu....nyie mnaohoji naamini ajira mnazo ndo maana.....

kaka kuna watu humu wanacomment katika computer za ofisini huku wana vijiti vya nyama midomoni, anachekecheka na grace pembeni, ajira kaipata kwa mgongo wa baba mkubwa au mjomba, na wengine mke wa mjomba au shemeji zao wanaowakazia dada zao, hao ndio wakatishaji tamaa watu. hawajui mateso yam kiakili ya kukaa bila kazi, na bila elimu wala mwanga wa kutokea]

Mkuu nimeipenda sana hii,
Mkuu hili Tangazo lingekuwa huo Kenya kusengekuwa na Maswali kama haya, Kinacho takiwa ni Malengo na si kingine mkuu, KUNA JAMAA ANGU MMOJA NI MFANYA USAFI WA OFISI FULANI NA ANALIPWA 200000 KWA MWEZI LAKINI AMEWEZA KUKUSANYA HICHO KIDOGO NA KUJENGA, Na kuna wanaolipwa Milioni 3 lakini hata kiwanja hawana,

Kikubwa ni Lengo na si masilahi,
 
Hawa wahindi wababaishaji tu.

Wababaishaji sana.....mie nna rafiki aliacha kazi mwanzoni mwa mwaka huu.....kwanza malipo yenyewe shida tupu afu hao maofisa wanazunguka mji mzima kwa miguu.....ukiwakuta wamepaukaaaaa mpaka wanatia huruma!.....hawa BRAC bado sana wajipange vizuri wafanyakazi hawatawakimbia!
 
unajua nachoamini mm hakuna mtu anaelazimishwa kitu kama unaona uhuni si uache kwani nimekufata nikakulazimisha, unajua kila kitu niimani kama hauna imani baki ulipo waache wanao amin watume

Mfafanulie kwa nini watu wanaacha kazi hapo brac kila siku!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom