Kazi brac

Mfafanulie kwa nini watu wanaacha kazi hapo brac kila siku!
Sweetlady nafafanua kuwa hawa BRAC ni wahindi wa Bangaladesh na fungu hili limetokea kwa tajiri mmoja huko aliyeanzisha visaccos (inasemekana na Bill Gate kachangia mfuko huo kwa mkopo usiokuwa na riba)
Mshahara wao ni sh 150,000/= tu kwa mwezi kwa maafisa mikopo na wale wanaotembea na wahindi hao kwa miguu au Pikipiki. Kama kuna anayepata zaidi basi ni Mhindi ambaye huwa ni Meneja na Mhasibu.
Kwa nini wanakuwa wachungu ni kwamba Hela walizokopeshwa bila Riba uazinatalkiwa zirejeshwe kunakotakikana kwani Matajiri wa huko wakiweka Pesa kwa kusaidia Nchi zinzoendelea hawatozwi kodi, lakini ukiwa na mabilioni yaliyokaa benki tu unatozwa na kuhojiwa unakozizalisha. Sasa hawa wanachotakiwa wazizungushe hizo hela na kuzirudisha kwa Bilionea na wao wajipatie ajira.
Wanachaokimbia kazi ni kuwa Afisa mkopo anapokuja kukufundisha namna ya kuomba mkopo anakuambia au kukufundisha dhamana (collatories) za kuweka, unachotakiwa ni kumkatia 10% ya mkopo na 10% ya dhamana km ni kiwanja au gari kwa kadi ya gari la mteja mwingine. Tatizo mkopo unapogoma kurudi Mhindi lazima afuatilie au wenzako wanakuchoma kinachobaki ni ww KUSEPA
Kingine ni Mhasibu akifuma yale marejesho ya vikundi vidogovidogo ambavyo hawapitii benki hufikia 40m huamua kulala nazo mbele
Ngija niwaachie wengine wafafanue kwa haya nina hakika nayo km atatoea huyo mtoa Mada akabisha ndo ntampasulia utapeli wao na ukwepaji Kodi wanaoufanya kwa kutokuwa na Leseni na vibali vya hao waBangladeshi vivyokuwa FAKE huko Immagration na manyanyaso yao ya kuwafungia wakopaji kwenye vistoo vyao (km huko Iringa)
 
huo mshahara unaongea ni wa mwaka gani, sikieni niwaambie nyie watu msipende nkukatisha tamaaa watu we kama unasehem ya kupata chakula chako cha kila siku msiwakatishe watu tamaa we kama kuna sehem upo kaa hapo na ututulie sio kukaa na kuongea uongo Brack hawana mshahara huo kwa maafisa achen uongo jaman
 
Anna pita..Brac dar es salaam wanaajiri sana akina dada..na pia hata mikopo yao wanaitoa kwa akina dada na akina mama...je hiyo post yako..inahusisha vigezo hivyo km vya dar?
 
Last edited by a moderator:

nafasi za kazi brac arusha na mwanza ni

1) Accauntacy nafasi 4, arusha.
-degree/diploma ya accauntacy

2)Afisa mikopo nafasi 24, nafasi 15 arusha, nafasi 9 mwanza
sifa za amwombaji
- awe na elimu ya form four na kuendelea
- awe na lugha nzuri kwa watu
mwenye ujuzi na computer atapewa kipaumbele
maombi yote yatumwe kwa email
jaclinemassawe@yahoo.com maombi yatumwe kabla ya tarehe 2/8/2012

Wajinga (BLAC) walitaka kumuajiri chalii angu kwa 250,000/= kwa mwezi akiwa kabakiza somo moja kupata CPA? Hahahaaa akawadai application zake kuanzia barua na CV na kuapa boraafie kitaa. Nw ana shavu la kutosha kampuni moja hivi la, Acheni kutafuta CHEAP LABOUR.
 
unajua nachoamini mm hakuna mtu anaelazimishwa kitu kama unaona uhuni si uache kwani nimekufata nikakulazimisha, unajua kila kitu niimani kama hauna imani baki ulipo waache wanao amin watume[/QUOTE

Afadhali - Liwalo na liwe, wanakuzingua sana mwenye shida aje, hebu angalia inbox yako unaweza kuta wameishatuma wote
 
kwa watakaochaguliwa, walio karibu watakuja kuchukua form ya kujaza bt kwa watakao kuwa mbali nitawatumie Through email zao then wataidownload
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom