Sure yani...
Saivi nimeanza kukuona, si umevaa gauni la njano...?
Ah ah ah na njano juu
Nishakuona...
Ni umependeza adi najilaumu kwanini nimekuona...
Mhhh! Africa mapenzi! Kweeli!? Hapana!! Africa ngono tu, mapenzi Ulaaya!!
Usiweke matarajio meengi Africa itakuumiza sana.
Hakuna matata, Africa no hurry!
Humble African
Na wewe unapenda ngono eh... Teh teh ;::jokes:::
Utakuta thread ndeefu afu MTU anaquote yote na kuandika vineno viwili
Nice thread
Inatia hasira sana uki browse kwa simu
Loneliness ni kitu kibaya jamani, sikipendi kabisaaa lol. Sometimes unajikuta upweke umekuzidi hivyo akitokea mjerumani akaanza zile bae, miss u, Umekula, pole umeumia kidole blah blah blah, basi unajikuta umefall mzima mzima. Ukishakaa naye after ka muda kidogo ndo unaanza kugundua u messed up, humpendi huyo mtu kwa dhati, u fell for him coz alikuwa anakuendelea upweke. Mwishi wa siku unaishia kupata maumivu tena
Inabidi kuwa na muda wa kutosha after a break up, tusikimbilie kuingia kwenye mahusiano mapya while hujaget over the past relationship. Take your time, relax, pray and everything gonna be ok in its perfect time
It got to be jokes maana ulitaka nishika pabaya big jah man...huwa sientertain saana ngono though ni human nature ila mara nyingi huwa nafeel genuine joy and happiness ninapofound that specia thing..that's "love"
They say love is the......!! Awww hold on ngoja nina shughuli namalizia I'll be back soon na mengi abt love.
Ditto!
nilitaman kumtumia link hii x gelo wangu lakini ntakuwa nmempaisha sana na nmejipendekeza sana but itz nice one story