Kaza macho, tena jicho jekundu, usimruhusu Mjerumani

Kaza macho, tena jicho jekundu, usimruhusu Mjerumani

Mkuu...asante kws thread nzuri hyoo..nami kuna kitu nachangia...kweny kukonklud hyo story yako unamuonesha hittler kuwa aliwadisapoint wajeruman kitu ambacho si kweli..ahadi alizowaahid wajeruman alizitimiza kwa kiwango kikubwa..ingawa wayahud waliona cha mtema kuni kwa sababu iman yake kubwa ni kwamba ujeruman walishindwa vita kwa sababu wayahud hawakuwasapot koz hawakutaka kujitolea rasilimali na nguvu yao kwenda vitani
 
Mie hakuna hata nilichoekewa ndefu inakera
 
umeelezea vizuri sana.... thread ina mtiririko mzuri.... na ujumbe umejengwa vizuri
 
Hongera sana mkuu kwa thread nzuri!,mie napenda niwe natudiarudia kuisoma wala haichoshi.
 
Uzi nilijua unahusu ujio wa Lowasa chadema.
kumbe mapenzi mapenzi mapenziiiii...
 
Ulikuwa wapi kunishauri miaka miwili iliyipita? I got my own Hitler...yani alivyonichenjia sitaki kuamini...ts like yamenifika happpaaaaaa....!
 
Ulikuwa wapi kunishauri miaka miwili iliyipita? I got my own Hitler...yani alivyonichenjia sitaki kuamini...ts like yamenifika happpaaaaaa....!

Pole sana mpenzi...

I love ur name Kim nana
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom