Diva Beyonce JF-Expert Member Joined Mar 6, 2014 Posts 12,913 Reaction score 11,297 Jul 30, 2014 #2 Hivo sio vichwa tu kweli!
Kaitampunu JF-Expert Member Joined Nov 24, 2011 Posts 2,465 Reaction score 1,389 Jul 30, 2014 #3 mshana jr said: View attachment 174321 Click to expand... Muulize watu8 nahisi ni mzoefu.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,456 Reaction score 872,090 Jul 30, 2014 Thread starter #4 Kaitampunu said: Muulize watu8 nahisi ni mzoefu. Click to expand... Hahahahaaaa watu 8 yeye ana chombo
Kaitampunu said: Muulize watu8 nahisi ni mzoefu. Click to expand... Hahahahaaaa watu 8 yeye ana chombo
collycool JF-Expert Member Joined Nov 24, 2011 Posts 203 Reaction score 192 Jul 30, 2014 #5 Atakuwa wengine kawaweka kwenye kikapu
bysange JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 4,456 Reaction score 1,565 Jul 30, 2014 #6 mmmhh!inawezekana ametengeneza vimfuko kama vile vya kangaroo
Victor wa happy JF-Expert Member Joined Apr 24, 2013 Posts 11,660 Reaction score 11,664 Jul 30, 2014 #7 Photo shop
CharmingLady JF-Expert Member Joined Apr 16, 2012 Posts 18,304 Reaction score 12,999 Jul 30, 2014 #8 Hiyo ni photoshop make sura zote zafanana!
M makubazi JF-Expert Member Joined Feb 15, 2013 Posts 2,047 Reaction score 365 Jul 30, 2014 #9 Ni safi sana na kuna msemo wa Tajiri na mali zake na masikini na watoto wake
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,456 Reaction score 872,090 Jul 31, 2014 Thread starter #10 charminglady said: Hiyo ni photoshop make sura zote zafanana! Click to expand... Yupi ni halisi hapo?
charminglady said: Hiyo ni photoshop make sura zote zafanana! Click to expand... Yupi ni halisi hapo?