Kaunga

Kaunga

Dah hii makitu ni noumer yeuwiiiiiiii...........
Nimeimiss jamani khaaaaa!!!!!!

smirnoff_ice.jpg


na hii hapa

amarula.jpg

Hizi picha zimetengua maombi yangu.....
 
sasa lara kwa kua umeshaanza hilo ulilopm lipest tu na huku, unatukatili kutunawisha then huleti msosi
 
usijali Vin diesel watakuja na kitu cha kudilute, maombi lazima yaendelee, sheitwan shindwa kwa jina la anayeabudiwa na vin Diesel

tushahairisha ibada mpaka hapa....tuendelee kushusha vyombo tu....
 
tushahairisha ibada mpaka hapa....tuendelee kushusha vyombo tu....

me simo tena ohoooooooooooo naona kondoo kagoma kuingia kundini , muhawi lara akuwahie nafasi kwenye viti virefu maana siku ka ya leo memba wanaongezekaga
 
me simo tena ohoooooooooooo naona kondoo kagoma kuingia kundini , muhawi lara akuwahie nafasi kwenye viti virefu maana siku ka ya leo memba wanaongezekaga

Tatizo lara 1 kaanza kuzeeka...tangu lini juice ya redds ikakupa stimu?
 
Last edited by a moderator:
My sweetie Kaunga achana na Kongosho amezidi umbea tu!
"
Leo nitakuletea take away ya ugali wa udaga na mlenda.
"
Najua tangu utoke ughaibuni umemis msosi wa nyumbani.Achana na hao!
 
Last edited by a moderator:
hawa wanamme wa kutomgoza wanaringa kweli

imagine babu Dark City kanikataa pamoja na ku-express interest zangu.

Mwambie, amezidi kuniringia. Nishajifunza; sitongozi tena mwanaume maana nimejifunza the hard way! LOL
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom