Kaunga

lara 1, Ciello, Natalia meet Husninyo; n bidada meet the new pack na wengine niliowasahau, btw najua ulikuwa unachungulia as a guest so probably you already know them. LOL

Kongosho amepitia mengi hadi kuishia kupractice u celibacy

naona warembo wameongezeka humu!!! karibuni sana..... huyu lara nimemzimikia ujue. lol! nawapa hi! waambie tukutane cht cht.
 
Last edited by a moderator:
Hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee,

Ni wewe Husninyo au ni makengeza yangu ya uzee..........

So excited to see you kajukuuu....Umerudi salama?

Babu DC!!

waoooooooohhh!!! kiss kiss babu...(wadaku wanang'aa sharubu). nimerudi salama babu, sina kipele wala kijipu. lol. unasalimiwa na watu wangu wa mpwapwa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom