Kauli zilizokufurahisha ukiwa JKT

Kauli zilizokufurahisha ukiwa JKT

Kuna chenja hzo ukiimbia wakati wa mabio lazima upate nguvu atakama umechoka
1-Neila eeeh neila eeeh neila kitambaa changu uzalendo niliukuonga na we ukaonga....
2-Yaulee yoooooh mamaaaa yooh yaule yooo mama...
3-Vijana maua popote uchanua twendeni tukalijenge taifa
4-Mama mooooyo moyo waumauma nikimkumbuka mama nyumbani waumauma...
5.Depo mama depo
Song number 2, moja ya chenja nnayoizimia kinoma.

Pia kuna chenja ya "naskia raha utaaamuu". Kipele pale 835kj alituvuruga mnoo tumeenda kwata na silaha zetu tunagonga chenja yetu halafu kwa mbali alikwepo lt. Masalu.
Private akatupa doso kabla ya kwata, Tulipendeza sana na lile vumbi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom