Kauli zilizokufurahisha ukiwa JKT

Kauli zilizokufurahisha ukiwa JKT

Siiiinge nyamaaa italalaaa siiingee aiyooomaaaamaaa singe nyama talala singe baba na mama singe aduiii kaua singe nyama italaaalaaa[emoji23][emoji23][emoji23]

Huu wimbo bhana tulikuwa tunaimbishwa alafu katika kati afande anaimba(watu wote laleni chini singeeee)hapo mtalala huku mnaimba alafu anaimba tena "watu wote lalianeni singeee""huku mnalaiana sasa[emoji1787][emoji1787]yaani hadi raha
 
Nyiee hia kauli alikuwa anaipenda afande MATALYA mgambo KJ aiseee.. yani akisema ngurutu leo mmeharibu kazi muandae nguvu siku hiyo kombania inachafukaaa sio kwa lile dosoo.. Kuna siku tulitoka kupiga kwata mazoezi ya pass out sasa ilikuwa mida ya kula kuna platoon hawakurudisha silaha hamala wakaenda kuzikusanya chini ya mti wakila ndo warudishe ila wakaacha watu walinde Yesu wanguu sitaisahau ile siku nyie tulichakaaa unajua kuchakaaa kwanza tulitudi kombania mwendo wa bata waliitana maafande nyie tulipigwaa mpaka kuna captain flani akaingilia kati sitasahau ni siku niliyopanga kesho yake nitorokee.
Welldone mkuu Mgambo JKT, 835KJ tuliiva mkuu, CO Mtono huyu Co siku moja aliamua kuwa akisimama pale jioni aone station ya treni pale Gendagenda,kilichotokea kuanzia kesho yake sitaki hata kukielezea hapa
 
ya nyukweeee
Ya kobolewee..
Mwaga nyuki
Ziiiiiiii.......
Haya weka chenjaaaaa
 
ya nyukweeee
Ya kobolewee..
Mwaga nyuki
Ziiiiiiii.......
Haya weka chenjaaaaa
Mamaa aminaa deleee amina delee deleee....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hapo mbele utata
 
Barabara ya Zambia reli yetu kuu ya Uhuru shaba na mawese vyaingia eko ekoo Tanzania [emoji16][emoji16]
 
Afande : Haya wagonjwa wa kudumu tuimbe ule wimbo wetu ....

Wagonjwa wa kudumu (mikono ikiwa kichwani) : Mungu saidia wagonjwa wote tufe....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimecheka sana wallah
 
Kuna nyimbo inaitwa mwanambuzi.... meme
Mwananbuzi meme kamlilia ***** kamwambia kwea kwea mlima unamawe kwea mwana kwea mwana, kwea mwanng kwea...... Daah Ili chenja nakumbuka makuyuni 839kj kuna private alikuwa anapenda kukaa Kati na kiti chake watu tunaiimba na kupiga ndoo kama ngoma mostly jumapili
 
Kuna chenja hzo ukiimbia wakati wa mabio lazima upate nguvu atakama umechoka
1-Neila eeeh neila eeeh neila kitambaa changu uzalendo niliukuonga na we ukaonga....
2-Yaulee yoooooh mamaaaa yooh yaule yooo mama...
3-Vijana maua popote uchanua twendeni tukalijenge taifa
4-Mama mooooyo moyo waumauma nikimkumbuka mama nyumbani waumauma...
5.Depo mama depo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom