Kauli zilizokufurahisha ukiwa JKT

Kauli zilizokufurahisha ukiwa JKT

Moja kwa moja kwenye mada...kila nikikumbuka baadhi ya kauli zilizokuwa zikitumika najikuta nafurahia pekeengu ....je wewe mdau uliewahi kupitia haya mafunzo ya jkt..unakumbuka msemo upi?

Binafsi nakumbuka ule msemo .,wakti ulishaharibu kazi sasa unaambia na kamanda ufoleni mistari mitatu wakti huo ni wewe mmoja ...sasa utajigawa vipi ili ufoleni mistari mitatu na mtu we ni mmja.

Kwa wadau nadhani wanaelewa hizi vitu
Kwahiyo ulipigwa tochi mzee
 
Jamani mie napenda demu wa kijeda.....nipeni mbinu nawapataje
 
Baba umeliona hili linapanga kutorokaaa...
Mzalendo au kurutu anaenosha uoga anaambiwa utakufa wewe lazima ufee..
Jioni ya leo atakufa mse*ge atakufa shoga kurutii..
Azwea nyingi jeshini...
Wanawambia madem wewe kichei chei usiniangalie ivo nna mke mzuri kulko wewe..
Kama babako anakupenda asingekuleta jeshinj

Kuna mapuuza sana kama sio vyeti unaweza toroka
 
Kumbe unapanikishwa makusudi...daah!
Ili Kupima uwezo wako wa Uvumilivu na Hasira? Huko hata Kuambiwa Ubong'oe hilo 'Nyabe' lako ili Ukaguliwe 'Uvunguni' mwako ni Jambo la Kawaida sana tu Mkuu.
 
Fookrases
Kumbe ni
For Christ's sake
Ajua
Kumbe ni
As where
 
miezi mitatu sikuwahi kusimamisha mpka nikahisi nishkwishaaa
Kwahiyo 'Bolo' lako lilihifadhiwa kwa 'Trainers' kwa huo muda na kwamba ulipomaliza Kozi yako ( yao ) ndiyo uliifuata au?
 
Nyiee hia kauli alikuwa anaipenda afande MATALYA mgambo KJ aiseee.. yani akisema ngurutu leo mmeharibu kazi muandae nguvu siku hiyo kombania inachafukaaa sio kwa lile dosoo.. Kuna siku tulitoka kupiga kwata mazoezi ya pass out sasa ilikuwa mida ya kula kuna platoon hawakurudisha silaha hamala wakaenda kuzikusanya chini ya mti wakila ndo warudishe ila wakaacha watu walinde Yesu wanguu sitaisahau ile siku nyie tulichakaaa unajua kuchakaaa kwanza tulitudi kombania mwendo wa bata waliitana maafande nyie tulipigwaa mpaka kuna captain flani akaingilia kati sitasahau ni siku niliyopanga kesho yake nitorokee.
Hadi nimewaonea huruma. Poleni sana jeshi si lelemama mkuu.
 
Naomba lyrics za wimbo wa "Zaina"

Au audio kama mnayo.

Wimbo maarufu hapo Jeshini .
 
Naomba lyrics za wimbo wa "Zaina"

Au audio kama mnayo.

Wimbo maarufu hapo Jeshini .
ZAINA zainaa zainaaa...mtoto wa kabuku zainaaa lete rahaa zainaaa... zainaa zainaaa 😀 😀 😀
 
Siiiinge nyamaaa italalaaa siiingee aiyooomaaaamaaa singe nyama talala singe baba na mama singe aduiii kaua singe nyama italaaalaaa😂😂😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom