sakwano
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 303
- 831
Moja kwa moja kwenye mada...kila nikikumbuka baadhi ya kauli zilizokuwa zikitumika najikuta nafurahia pekeengu ....je wewe mdau uliewahi kupitia haya mafunzo ya jkt..unakumbuka msemo upi?
Binafsi nakumbuka ule msemo .,wakti ulishaharibu kazi sasa unaambia na kamanda ufoleni mistari mitatu wakti huo ni wewe mmoja ...sasa utajigawa vipi ili ufoleni mistari mitatu na mtu we ni mmja.
Kwa wadau nadhani wanaelewa hizi vitu